Isaiah 6:8
[8]Also I heard the voice of the Lord, saying, Whom shall I send, and who will go for us? Then said I, Here am I; send me.
Kisha nikaisikia sauti ya Bwana, akisema, Nimtume nani, naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu? Ndipo niliposema, Mimi hapa, nitume mimi.
2025-09-19 19:26:22
46
kossy :
correction, the verse refers to prophet Isaiah response to God and not jesus Christ.
2025-09-22 12:51:07
8
timmy254 :
bro,, Isaiah ndio anasema nitume Mimi,,na aneuliza Hilo swali ni yesu Kristo,,unayosema wewe ipo revelation
2025-10-03 12:21:17
14
G I D D Y😎 :
mbona akae silent 400 years
2025-09-21 13:54:07
6
VIN Stitches :
bro kulewa ni dhambi
2025-09-18 19:57:24
6
moses :
congratulations
2025-10-12 21:52:07
3
KAKA VINNOX :
kaka braza unajaribu nikupe Moyo endelea kujifunza zaidi Ila soma hayo maandiko pasipo Na papara Kauli hiyo si ya YESU kusema Mimi hapa nitume Ila Ni ya isaya soma tu ukiwa umetulia utaona thanks
2025-09-12 02:37:44
6
Espoir Tuombe :
siamini kwamba aliye sema nitume mimi ni Yesu huu ni uongo mtupu
2025-09-25 15:35:27
1
D@nnybwoy :
isaya anajizungumzia mwenyewe😅😅😅 soma neno vizur ukiwa umetulia...but all in all Mungu alimtoa mwanae wa pekee( hakuja mwenyewe) na yote hayo ni kutimiza mapenz ya Mungu....barikiwa sana
2025-09-15 19:24:24
6
JSK :
bwana akubarika afande
2025-10-15 18:51:16
3
sagesse :
ubarikiwe kaka
2025-11-28 19:28:31
2
user86072418196872 :
u are doing what is right if u mean so
2025-11-29 19:43:24
1
Emmanuel Magere :
sasa wewe ulikuwepoo ulikuwepo
2025-09-19 19:35:37
5
yohanaj4 :
ubarikiwe mtumishi
2025-11-20 22:11:18
1
robarth peter :
nimependa namna yako ya kuhubili injiri
2025-09-13 17:46:46
6
Scovia Akello :
amen
2025-10-15 17:11:48
3
DAMA :
Amen
2025-11-01 12:31:13
1
Vivian😍💖 :
Ameni
2025-11-09 04:20:40
1
MAMA trlza :
amen 🙏🏿 🙏🏿 🙏🏿
2025-10-14 18:36:35
2
Mwalimu Mr AA :
we mhubiri mkubwa sana barikiwa sana
2025-10-16 21:32:35
3
Marie la perle :
ni isaya aliye ambiya Mungu nitume mimi bwana
2025-10-16 11:05:02
4
muge genius :
Amen
2025-09-23 10:25:02
2
harmonize :
amen♥️♥️♥️🙏🙏🙏
2025-09-21 19:18:59
3
@dalalikariakookinondoni :
amen 🙏🙏🙏🙏🙏
2025-09-22 11:07:56
2
wanjeri77 :
Amen
2025-10-10 06:33:03
1
To see more videos from user @emmanuelmwangi05, please go to the Tikwm
homepage.