@kuku_chapchap: Ki ukweli kwa sasa kuku wa Mayai kwa Tanzania kwa huu mwaka 2025 ni moja sekta ya ufugaji ambao umepanda sana kwa takwimu zangu za haraka haraka. Ni fursa nzuri sana kama utaifanya kwa uweledi mkubwa kwa kuwatumia wataalamu. @kuku_chapchap tupo hapa kukushika mkono kukupa mwingizo sahihi kupelekea kwenye kupata mavuno mazuri katika ufugaji wako. Kwanza tutakupa mbegu nzuri ya kuku kisha tutakupa usimamizi wa bure kwa mwaka mzima for free. 📍Tunapatikana Dar es salaam, Kimara Temboni. Call/SMS/WhatsApp: +255 719 882 004 #fugakuku #fugakukukisasa #fuganakukuchapchap #kukuchapchap #kukuchapchaptips

Kuku_Chapchap
Kuku_Chapchap
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 08 September 2025 09:53:05 GMT
840
17
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @kuku_chapchap, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About