@samsonmbembela: Huna Pesa ya Kutangaza Matangazo ya Sponsored Ads Mtandaoni? Tumia Jukwaa hili la Market Place la Facebook Kujitangaza Bure Kabisa, Hapa nakuwekea Tips itakayokusaidia Kuuza na Kupata Wateja Wengi. Ukiuza Usinisahau Ndugu Mfanyabiashara, Je, Umeipenda hii Tips Nipe Maua Yangu. #ThinkDigitalThinkOfUS #FacebookMarketPlace #MarketPlace

SAM | Sponsored Ads Coach
SAM | Sponsored Ads Coach
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 08 September 2025 15:20:12 GMT
32449
927
37
340

Music

Download

Comments

msleeaccesories
ms_lee_accessories 🌸💜 :
Samahani na vipi kuhusu Instagram account yako imekataa kuwa connected na Facebook uwezi Lipia matangazo unless ufungur account nyingine inawezekana ikarekebishwa then. Nilipie kupitia hiyo account kwa sababu watu wengi kule kuliko account nyingine naona watu wanashuka inanipa stress kwel😢
2026-03-27 07:46:41
1
lillystore88
Lilly store 88 :
Sawa mwalimu mimi naenda jaribu leoleo
2025-09-15 15:50:49
3
girlsgirl360
Nyau😻🖤 :
this is so good 🔥🔥🔥thank you let me give it a try
2025-09-08 16:04:37
4
user8743553378111
shufaa :
ndio natumia inanisaidia
2025-09-21 14:32:06
5
sokohurumarket
Soko Huru Market :
umenipa plan b😂😂
2025-09-14 14:46:28
2
salmastore11
Itsalma :
asante sana umetusanua 😂
2025-09-15 14:10:09
1
mashuka10
MASHUKA BEI POA :
Hello
2025-09-13 01:51:58
1
johnnie590tz
Johnnie⚡️⚡️ :
kiongozi mm niliweka product yangu hapo kwenye market lakin likakataliwa kwanini?
2026-01-30 15:33:59
0
rubbys_abaya
Rubbys abaya :
Mwalimu wangu mm shida yangu ni tiktok, nikitaka kufanya tangazo naweza kuwa na balance ya 6000 then nanunua coins labda za elfu 12 nikitaka kurusha tangazo labda lenye cost ya elfu 15 naambiwa balance haitoshi shida iko wapi?
2025-09-15 06:08:49
0
beingtiffany6
Beingtiffany🍬 :
Naomba nisaidie kubadilisha fb acc yangu kua busness acc
2025-09-14 12:13:17
0
tryc_beautystudio
@Tryc_BeautyStudio :
🔥🔥🔥🔥🔥Lashes/Brows/Makeup
2025-09-18 18:42:22
0
tunda1990
DEEE :
sijaweza hata sijaona hiyo je kwenye page hamna??
2025-09-25 19:35:39
0
mamanonahouseoffashion5
MaMa NoNa house of fashion🤗🧥 :
Asantee sana nafanyia kazii🙏✅
2025-09-24 06:55:48
1
habityswety
al rayan collection 2021 :
sawa
2025-10-02 17:47:22
0
future.of.mine
Futureofmine :
hiyo Facebook marketing place Iko sehemu gani
2025-10-18 10:18:14
0
18fettytailor
Fetty tailor :
Sawa mwalimu me nashida na account yangu nikipost video inagoma ku upload 😔 today Jana izo zote zimegoma
2025-09-18 09:00:38
0
lattieskids
lattieskids :
Njoo tujifunze huku rafiki angu @Ramié Essence
2025-09-18 12:37:33
0
directcompany
Direct Company :
🔥🔥🔥
2025-09-09 12:45:31
2
iam_trillgates
Baraka Ayo :
😁😁😁
2025-09-12 12:49:36
1
sunset_storetz
sunset_storetz :
🥰🥰🥰🥰
2025-09-10 19:03:28
0
kambauni
last :
😂😂😂😂
2025-10-14 20:04:49
0
user9755378019997
andrea :
😁😁😁
2025-11-15 10:27:12
0
girlofgod328
Girl of God :
Jaman mi natafta mdada wa dukan
2025-11-17 05:29:46
0
To see more videos from user @samsonmbembela, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About