@eviceproducts: Replying to @Fatmah beauty🥰 ✨DEEP CONDITIONER/ STEAMING ✨ Ni bidhaa maalum inayosaidia kuipa nywele rutuba ‚na afya .Ni chakula cha nywele (kama ilivyo mwili unahitaji chakula cha aina mbalimbali or lets say mlo kamili ili kuwa na afya njema vile vile nywele zinahitaji chakula ili zinawiri na kukua vizuri) Steaming kikawaida inafanyika kulingana na muda wa mtu inaweza kuwa kila baada ya wiki moja au mbili na nyingine Kila baada ya mwezi au week 6 inategemea na ratiba ya mtu Kuna aina mbili za stiming 🌿Steaming ya kulainisha nywele na kuipa unyevu (moisture based deep conditioner). Hii itakusaidia kufanya nywele zako ziwe na unyevunyevu, zisikatike ovyo, ziwe rahisi kuzimanage na zenye afya, hivyo kudeep condition kwa moisture based conditioner kila wiki / kila baada ya week 🌿Steaming ya protein (protein treatment deep conditioner). Conditioner ya protini huongeza nywele na virutubisho, protini kusaidia kujenga na kuimarisha nywele. Hivi ni muhimu kubalance protein na moisture based deep conditioner ili kuwa na nywele zenye afya. protein treatment hufanywa KILA baada ya 6weeks /mwezi Deep conditioner yetu inafanya kazi zote mbili (2 in 1) yani ni moisture based na protein treatment deep conditioner 🌿 Bei ni 29,500/=Tsh We deliver worldwide 🌍 WhatsApp Link On Bio #fyp #trendingvideo #goviral #tiktoktanzania🇹🇿 #eviceproducts
Mim.Nawek parachichi ndizi yai na asali n mafut matone m3 jaman kam mtu nywel haba tumia itavojaa mpk utashangaa au parachichi tangawiz kitunguu maji vyot vinajaza hatr utaangalia uwez wako wa urahis upi
2026-09-11 11:29:39
1
lil __teyh 💕🦋 :
Unaweka nn hizo
2025-09-08 16:36:24
2
saly cute :
hili bei ganii
2025-11-21 09:39:54
1
Mamaester@12 :
jmn Kwan ukimaliza unaosha nywere au
2025-09-10 16:57:54
0
kaato Esther :
l like you hair what are you using dear 💞💞💞
2025-09-09 19:23:48
3
Ammy8 💕💕 :
ukishamaliza kupaka ndo unaosha au unaosha before hujapaka
2026-02-18 09:52:07
0
Isolavienne Elyssandra :
how much
2025-11-16 16:07:22
0
Malkia Gody :
nini hiyo unapaka
2025-10-01 06:47:26
1
ayub ayub :
palachich na nn
2025-09-10 17:17:51
0
Ester Maginga :
parachichi na nini madam?
2025-09-09 11:11:09
0
✨️🧸🌸G€my♡🌸🧸♓️ :
Unaweza kuweka kwenye dread locs ety?
2025-10-19 09:20:43
0
user5316687610626 :
naitaji kafuta napataj
2025-09-11 12:04:24
0
21✨🌷 :
inakatika nakua ngumu
2025-09-12 18:00:45
0
gee🌹🥀 :
tafadhar naomb unijib iv unafanya ivy kila baada ya wik au
2025-09-13 18:38:02
0
yasmin muss :
una tumia nin
2025-09-15 20:49:34
0
lil __teyh 💕🦋 :
Nywele fupi za dawa zinafaa
2025-09-08 16:36:44
1
sifa :
ni produit gani?
2025-09-09 13:28:23
0
Shazma Filbert :
hata nywele ambazo hazna dawa inafaa?
2025-09-09 14:01:26
0
rachellwinga :
mim nywele imekuwa ngum balaa
2025-09-10 17:48:28
0
unique heart💖 :
unaweza kuihifadhi au unatumia kwa muda huo huo tu
2025-12-19 14:49:10
0
Neema Lyimo :
😁
2025-09-27 20:35:03
0
Sawa💫💫 :
🥰🥰🥰
2026-09-06 20:20:04
0
ISAMILO GRAND HOTEL :
🤨
2025-10-09 22:49:08
0
To see more videos from user @eviceproducts, please go to the Tikwm
homepage.