@agedifa_health_care: Mfumo wa uzazi wa mwanamke una viungo vingi, na moja muhimu ni ovari (mayai). Katika animasheni hiyo ya 3D, inaonyeshwa jinsi ambavyo chembechembe ndani ya ovari zinaanza kubadilika na kukua bila mpangilio. Ukuaji huu wa chembechembe ndio unaoitwa uvimbe mbaya au saratani ya ovari. ✅Kadri uvimbe unavyokua, unaweza: ✅Kujaa ndani ya ovari na kuharibu kazi yake. ✅Kusambaa kuingia kwenye sehemu zingine karibu na ovari, kama mirija ya uzazi na kizazi. ✅Hatimaye, chembechembe za saratani zinaweza kusafiri kwa damu au limfu na kushambulia viungo vingine vya mwili. ⛔Kwa ufupi: video inaonyesha hatua za kuanza kwa saratani ya ovari, namna inavyokua, na jinsi inaweza kusambaa mwilini ✅Hivyo Nitafte upate tiba mapema ya fibroids yaan vimbe ndogo ndogo ndani ya kizazi ili uokoe kizazi chako na uendelee kupata uzao wako. #AfyaYaUzazi#TibaYaUzazi#FertilityCare#UzaziWaMpango#AfyaYaWanandoa na uzazi tock Tanzania### Usa####### counties tick-tock ## tick tock facebook# page##

kaminyoge na uzazi tips.
kaminyoge na uzazi tips.
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 09 September 2025 04:09:28 GMT
1600
12
0
5

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @agedifa_health_care, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About