@kingofdraft1: wazee meja ya fund shuku kula copy iyo

KING OF DRAFT
KING OF DRAFT
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 09 September 2025 11:35:22 GMT
252449
2381
77
371

Music

Download

Comments

patrick_reports
Patrick reports :
Kaka unajua ila hapo akili ni tofauti 😅 njoo huku hizo Kate nne husukumi limeisha😂
2025-09-09 21:27:58
5
constantine.kyari
Constantine Kyariga :
we jamaa nimuongo hapo unapokimbiza keti anakula mbili na siyo moja mbona sehemu nyingine unaenda slowly why hapo speed
2025-09-11 13:29:37
0
simonlukiko4
simon lukiko :
KAKA NAOMBA ULIZA DALMAX KWENYE 100% UNAMFUNGA?
2025-09-11 00:44:55
0
shaibundowa
Shaibu ndowa :
mi sitaki masimulizi kama hayo nataka tucheze watu kama nyinyi muko wengi sana munajua nje ya mchezo ila mukiingia ndani hamna kitu
2025-09-11 20:14:14
0
smackboy99
Smack_Jr :
unacheza pekee ako alaf unajiona unajua
2025-09-10 05:18:19
1
user9042661603693
capitao Tz :
kaka nakubar nafuatialia nipo mtwara tandahimba
2025-09-11 09:40:19
1
edibily825
Edibily Di Zenji🛀🏊‍♀️🏄‍♂️💪 :
Nataka watu kama nyie sasa maana mtaani kwetu nimeshindikana ni moto hatarii🔥🔥💪💪💪
2025-09-11 12:17:43
1
boanergy95
Boanerge :
asipo ela apo
2025-09-11 07:20:16
1
jamalchiba6
jamalchiba :
fundi unajua
2025-09-09 11:51:13
4
casper._.g
CASPER :
kaka umetisha
2025-09-09 13:56:25
1
jifunzekiingerezanasb
SB :
Bingwa upon vzr 😎
2025-09-09 12:55:31
1
d_bway
bway mn :
draft lote lipo kichwan🙌
2025-09-09 15:15:46
1
nyakyaga
expendable ♟️ :
kwanza unacheza draft la France kama mwanamke cheza draft la Brazil 😂😂 mamae uliwe mbele na nyuma
2025-09-10 19:17:35
0
subabrown
SUBA DE BRUNE :
Game linaitwaje hili play store
2025-09-09 12:46:51
1
mchamungu.mkomoje
mchamungu mkomoje :
hauna akili umekalilo micho iko mingi ujuw
2025-09-09 15:48:23
0
omaryiddy0
Omary Iddy :
unamvuaaa mtandioo
2025-09-10 04:31:51
0
user3904918403721
dalton :
Brazilian rule unakufa mapema tu
2025-09-09 21:16:02
0
francis.fundi7
Francis Fundi :
me naomba copy mzee wangu ntalipia nipe miongozo hii ilinisaidia sana mama mimi draft ndio ulevi wangu
2026-06-04 19:33:16
0
oghubofficial
OG Hub :
unajua mzee
2025-09-13 20:42:45
0
ally0685600247
user5909874952654 :
unajua kaka
2025-09-14 14:34:10
0
shabani.shedadi
Shabani Shedadi :
nakukubali mdogowangu
2025-10-21 07:37:37
0
daniel.felix142
@Daniel felix :
naomba namba Mzee unfundishe draft
2026-03-02 16:03:42
0
dunih1
Abdul Jr (Mmbenanga org) :
huu mchezo matula nimewapiga nao sana
2026-01-09 20:59:41
0
ivan__dollars
ivan_dollar's🦅 :
unajua🔥🔥
2025-09-14 21:14:47
0
ak__visuals
ak_visuals🇹🇿🇺🇬🇰🇪 :
Nakubali kaka 😁
2025-09-09 16:32:34
0
To see more videos from user @kingofdraft1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About