nilianzanga kuzisikia hizo nyimbo nikiwa miaka 6 mwaka 96 asante mungu
2025-09-14 16:35:35
3
toto :
wakati yetu Mungueeee 🤗
2025-09-14 17:15:19
1
ellydullatz :
Watoto wa 2000 watasema hiyo mashine ya kutengeneza bisi🤣
2025-09-09 20:57:08
58
saimon mkirene :
kama hiki kipinndi ulikuwepo mwambie mungu asante kwa huu uzima! nikitambo sana wazee. kipnd cha mia mbili ya noti😂
2025-09-10 01:37:04
76
Samsondulla :
wahenga tujuane🤣🤣
2025-09-09 21:04:11
6
Debby Debbie :
mbona kama mwandiko wa baba angu kabisa hapo kweny kanda au wazee wa zamani wote walikuaga na hand writing moja jaman🤣🤣🤣🤣🤣
2025-09-09 20:06:16
11
Estmbi0512 :
Daaah mchawi hapa alikuwa ni Bik tuu,,ni kuzungusha kirudia song😂,,ukirudisha na replay radio inatafuna hako kamkanda,kukatoa kwenye hiyo kusokotana sasa ni kijasho😂😂
Ikikata ama ikianza kukoroma,unakata kipande,unakiunga na Mnyaa😂
2025-09-09 20:19:25
23
N.M.j 🦁 :
wakat huo Radio Tanzania jumapili saa 12 asubuhi
2025-09-14 19:47:38
0
CHE’RIE BEAUTY ACADEMY :
Delila pambe tu amejua kutunyooshea mtu🤣🤣🤣🤣
2025-09-09 21:04:26
2
danny_kitchenware_mwanza :
🤣🤣🤣🤣Kweli tumezeeeka
2025-09-09 19:16:23
13
Joel :
na Kuna radio zilikuwa na uwezo wa kucopy hiyo Kanda unakuwa na Kanda Moja empty na hiyo yenye nyimbo radio ya milango miwili hahahahaha kazi imesha huendi kununua we kazi ni kudowea Kwa waliyo nayo unacopy
2025-09-14 15:43:49
2
Visionary Youth :
Hapo home ilikuwepo panasonic betri 6 inawashwa kwenye sikukuu au mzee akifurahi weekend
2025-09-14 15:24:14
1
bejoli :
tuliopo hai tujiongoze sala ya toba
2025-09-13 06:32:50
4
neemareuben8 :
nakumbuka tulikua tunasikiliza jmpili tu na ikimba pande zote inatolewa na kufichwa mpk jmpi ingne 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-09-09 18:53:55
14
Mr BABWETEGA :
kitambo jamn 😁 na mkanda wake ulipokuwa unaharibika tunapeleka shambn kutishia ndege wasile mazao😄
2025-09-14 16:56:38
2
Ester :
ya kale ni dhahabu...
2025-09-10 10:58:31
6
directement :
vous pouvez avoir les chansons pour le frère Joël kisimba
2025-09-14 18:01:42
0
Prosper John985@ :
kuna mdogo wangu wa mwaka 2000 ananiuliza kinini hicho kifaa au nichakutengenezea juice
2025-09-10 07:52:46
3
Sania's mom❤️ :
Jamaniiii,nakukumbuka utoto wangu
2025-09-14 20:09:09
0
Jesse_Tunuka :
weka ya mamajusi choir kuyoka moshi kilimanjaro
2025-09-09 20:53:55
8
🧭Q🧭 :
jichanganye ukaishike radio umeisha
2025-09-14 19:31:18
0
Bestine kiki💫✨🌟❤️ :
hooooo nilikuwaka na miaka kumi na,tano wakaki nilimba wimbo huu😃🤣😅🤣🤣🤣🤣
2025-09-14 14:53:00
2
ngolobanya :
kwan hizi zinapatikana kweny digital platforms?
2025-09-09 20:02:18
3
nkyah gospel :
umetisha sana 😊
2025-09-14 16:22:50
3
To see more videos from user @spinning_memories, please go to the Tikwm
homepage.