kaka ww mkweli mwenyezi mungu akulinde sana maana ulinisaidia kuhusu mtoto kukojo kitandani huwezi amini saivi anamkia mwenyewe anaenda kukojoa jmn upewe ulizi
2025-09-10 14:20:21
1
chaurembo :
unakunywa kwa siku ngapi
2025-09-10 10:13:43
3
prudence :
thanks
2025-09-29 08:47:39
1
Haliba :
chumvi mie nna presha itakuwaje?
2025-12-05 11:11:38
0
user6696885096093 :
Dr nusaidie dawa ya mtoto kukuojia kitandan
2025-09-22 06:50:14
2
Leyla :
ndim haifai
2025-09-25 14:00:57
1
bettymnahela915 :
naomba namba yako Abubakar Sadiq nina shida
2025-09-24 07:03:11
1
m :
Asante🙏
2025-09-30 07:50:50
1
0778147484 :
mazali. hakiniwash nnacho natambanacho
2025-12-06 19:49:16
0
omarabubakar :
Baraka Allah fik khui shukran jazaka Allah ukheir 👏.
2025-10-12 08:41:49
0
Tausi Mugisha :
Docta nisaidiy dawa ya kucha kuingiya kwenye nyama
2025-10-01 07:51:16
1
kabosho :
Allah akudumishe kwa faida
wewe ni wa muhimu kwa ulimwengu huu
2025-10-02 14:57:17
0
Recho Molel :
natunaonyonyesh tunaruhusiwa
2025-10-07 13:28:05
0
Fariyda Massanah Moh :
shukrani ntaifanyia kazi, kitambi tuu au na mwili?
2025-09-23 14:15:52
1
Jenimerry samwel 980 :
nakukubari sana lakini mimi nina vidonda vyatumbo je nikitumia alimao haitanidhuru?
2025-09-27 11:36:25
1
janeth mimi :
maana Nina kilo 110 nataka zifike 90
2025-10-02 10:35:58
0
JumaMtanda_2015 :
Sawa
2025-09-28 09:20:42
1
zephania Kyando. :
🔥🔥🔥🔥🔥
2025-09-15 06:29:19
1
Maryland :
🥰🥰🥰🥰🥰
2025-11-10 03:08:59
0
user6696885096093 :
🥰
2025-10-06 07:44:21
0
taa :
saut Bado ileille mwanet
2025-10-01 07:34:36
1
fauzia mahamood :
nakukukbali sana
2025-09-29 14:23:43
1
zulfa :
nisaidieee
2025-09-28 07:53:01
1
essy :
Asante
2025-09-27 15:43:43
1
To see more videos from user @aboubakarsadik01, please go to the Tikwm
homepage.