@machingatvtz: Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando (Baba Levo) , ameonyesha upekee katika siasa baada ya kuwapa wananchi nafasi ya kumuuliza maswali moja kwa moja wakati wa mkutano wake wa kampeni. Katika mkutano huo uliohudhuriwa na mamia ya wakazi wa Kigoma Mjini, Baba Levo aliwataka wananchi wasisite kuuliza maswali yoyote bila kujali ukubwa au uzito wake. Hatua hiyo ilileta msisimko mkubwa ambapo wananchi walitumia nafasi hiyo kumuuliza maswali magumu kuhusu ajenda zake, maendeleo ya vijana, huduma za jamii, pamoja na namna atakavyoshirikiana na wananchi iwapo atachaguliwa. Akiwa jukwaani, Baba Levo alijibu hoja zote kwa uwazi, akisisitiza dhamira yake ya kusimama bega kwa bega na wananchi katika kutatua changamoto zinazowakabili. “Nipo tayari kuwasikiliza, changamoto zenu ndizo dira yangu ya kufanya kazi,” alisema huku akishangiliwa na wafuasi wake. Wananchi waliohudhuria walieleza kufurahishwa na ujasiri wa mgombea huyo wa CCM kuruhusu maswali ya moja kwa moja, wakisema ni ishara ya mwanasiasa anayetaka uwazi na mshirikiano wa kweli na wapiga kura wake.
Machingatv
Region: TZ
Wednesday 10 September 2025 05:03:16 GMT
Music
Download
Comments
Nããh💋💕🦋 :
Mbona anapaniki 😅😅😅 anafikiria kusafiri nje ndio kujua kizungu
2025-09-10 07:17:34
117
KUKU KISHINGO🫦 :
Uyu kigoma mkimchagua mtakuw mmegoma kimaisha
2025-09-10 06:23:36
131
. :
Tanzania na kingereza nisawa na wanaume na kuoga maji 😅😅
2025-09-12 04:42:03
0
RUGA :
pesa za miradi atakwenda kubetia🤣
2025-09-10 05:53:48
538
chazzy 💀 :
Mgombea aanafokea wananchiiii 😂😂😂
2025-09-10 12:26:10
34
Patrick Peter05 :
huna uwezo wa kujibu maswali
2025-09-10 05:48:09
371
Lygro Beiby :
huyu anamwaga sera au anachamba😏😏😏
2025-09-10 08:06:45
123
DEXTER_COD🇹🇿🦅 :
Muheshimiwa Baba levoo
2025-09-10 06:40:41
122
abdulmajid mussa :
Hapo hamna Mbunge
2025-09-12 03:48:02
0
diamily tz :
😂😂😂😂Baba levo kama mjinga lakni akili nyingi sana mfatilie
Hutuba yake ya kipindi alikuwa diwani
2025-09-10 06:06:54
39
BARACK😎☠️ :
swali langu🙏💗
2025-09-10 06:09:11
196
Azizi mwatika🫂 :
Anatumia nguvu kujielezea means akili yake ndogo buanaaa
2025-09-10 06:09:38
141
Squishy_boy96 :
sema babalevo anasifa sana😂😂😂😂😂
2025-09-10 07:14:36
18
الله العظيم :
wakenya wasione hii tumekwisha 😅😂🤣
2025-09-10 06:55:08
4
Seif The Great♑️ :
Pesa za miradi zitaenda kwa muhindi 😂😂
2025-09-10 08:00:54
7
Auntie MOMO :
Baba Levo to the world 🔥🔥🔥
2025-09-10 07:54:26
7
poshytinnoh :
Maswali gani hayo kakijingaa kama muheshimiwa wao😂😂
2025-09-10 05:59:15
8
Mahadhi Muhaji :
kuna wajinga wengi Sana sasa...Luga yataifa kiswahili Sasa...na bungeni wanaongea kiswahili ...alafu unauliza utumwa
2025-09-10 09:59:55
15
dossa Zeroseven_07 :
wale wa 10/10?
2025-09-10 09:29:54
20
Yunus🫥 :
Kashaanza kusikiliza kelo za wananchi na hajapita🤣😂😂😂😂
2025-09-10 06:58:44
48
raynex180 :
mkimpa huyu,hela za miradi anaenda kumalizia nyumba yake
2025-09-10 09:15:29
32
kamikaze drones :
Mm sio nabii huyu anaenda kugombana selikar
2025-09-10 06:11:40
34
kibwasali :
huyo bado sio mheshimiwa ni mgombea ila waha bhn
2025-09-10 05:54:18
35
user6176874525799 :
Muulizeni Kwa kingeleza msimuache😂😂😂
2025-09-10 06:11:40
48
edufaustn :
ila tanzania na kiingereza😁😁😁😁😁😁😁..
2025-09-10 06:11:47
18
To see more videos from user @machingatvtz, please go to the Tikwm
homepage.