umejiroga mwenyewe kuhangaika na kila mwanamke sasa hujui umuoe yupi. kila mtu ananuksi zake mutulie maana mkijiona mnavaa hio combat mnahis maisha mushayapatia
2025-09-11 13:38:18
8
Maryam Magege :
😂😂 ogopa matapeli
2025-09-11 19:34:50
1
@Queen Lulu ❤️ :
sura ya muoaji iko wapi😆😆😆
2025-09-12 07:50:05
1
Humble girl, :
malizeni tofauti zenu mbona yanazungumzika hayo🤣🤣
2025-09-11 17:18:23
1
godwini msanya :
connection hatuna wengine
2025-09-12 18:39:05
1
asinat abeid :
utaoa tu kila kitu kina muda wake ukiona bado upo upo ujue mungu hajataka iwe ivo kwa wakati huu
2025-09-11 22:49:48
2
Maureen keno :
jichanganyeni wengine ni kuruta humu na siyo wanajeshi 😂