@fikrachanya_tz: Siri 6 za Kisayansi Zitakazokufanya kuwa Bora Kwenye Kitu chochote kile ⚡ (Hakuna Aliyokuambia ya 4!) #FikraChanya #Mindset #Motivation #Psychology #Kujiboresha
Haya maarifa ndio tuliyakosa ndio maana wengi tumekuwa Failure, MUNGU akulinde Amina
2025-09-13 16:17:06
3
EXISTENCE FOR PURPOSE :
ndio
2026-04-13 14:15:39
1
Ali Mabrouk :
your always best for me i salute you
2025-09-26 21:31:27
1
Bashr uddin Abdullah :
nizamu ya muda mref
2025-09-30 05:36:42
2
✨andrew🌴 :
nimejinfunza vitu vya msingi sana👍👍👍
2025-09-11 04:46:21
2
mariam :
elewan code
2025-09-11 07:34:34
1
champion winner :
asante kwau tafiti wenu unaotujenga kii fikra
2025-09-11 07:26:35
1
israel israel :
Naamini kwamba wale tunao sikiliza fikra chanya ni wazee wa hekima na busara kwa baadae, ni watu maarufu sana , ni mabingwa , labda tusizingatie haya. huyu ni mwamba sana Mungu anamtumia kweli kweli
2025-10-03 14:17:24
1
*Code Zuu👨💻 :
skills binafsi
2025-10-03 10:18:53
1
King Ally🧰 :
kupata elim ndani ya fikra chanya nijivunia na sipendi kuishia apa naomba kama kuna group wthp nomba🙏 niunge ili niwe mmoja wenu🙏