@mumumabusiness: ✨ Dua hii ya Nabii Zakariya (A.S.) aliyoisoma alipokuwa akiomba kwa Allah riziki ya kupata mtoto mwema. 👉 Tafsiri yake: “Ee Mola wangu, nijaalie kutoka kwako uzao mwema; hakika Wewe ni Mwenye kusikia maombi.” (Qur’an 3:38) 🧕🏽🤲🏽 Hii dua ni funzo kuwa tusikate tamaa kwa Allah, hata changamoto zikionekana ngumu. Yeye ndiye Mpangaji bora wa riziki na maombi. ❤️ Ukisoma na kuamini, unakumbushwa pia kuwa dua ni silaha ya muumini na huleta tumaini kwa kila jambo. #islamicpost#fyp#quran#dua#Hadith