Mimi huko labda niingie na panga Incase mtu anifungie ndani natoboa😹😹
2025-09-12 08:32:20
1107
Njee 🥰🥰 :
yetu paka alikufa ndani😅😅
2025-09-11 19:44:56
43
mwangi :
Joto inakuanga hapa ndani ogopa 😂😂😂
2025-09-11 18:07:01
371
kally254 :
I'm an overthinker😂😂😂hapo siwezi ingia 😂😂😂😂
2025-09-12 11:19:51
84
⭐🏵️🪷💠 :
sasa tutakunywa maji inanuka miguu zako😅
2025-09-11 21:46:25
37
jay riey 3 :
nishawai ingia ndani ya Tank kuosha waaah...Mum akasahau kama nko Naosha Tank🥺..Akapump maji🥹Waah majii ilianza kuingia kwa Tank na pressure Mob ..Ju ya Kushtuka nikaziraii🥺.....Waaah. ..Acha tu🥺
2025-09-12 19:53:09
30
carol wanja❣️ :
😅😂😆when i was thin wazazi wangu walikua wananitumia vibaya juu nilikua mkonde me doo nilikua naingia huko dani kuosha😅😂heri hivyo nilinona
2025-09-12 17:00:03
48
💜caroly.wanjohi♌️♌️ :
Kwetu Mimi ndiye huoshaa juu Niko na mwili ndogo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-09-12 05:39:10
153
maryannemdee :
how do you breathe inside there?
2025-10-17 13:13:32
19
Miss kinyanjui :
najua zetu ni chafu zaidi🤣🤣 hazikaukangi maji 😏
2025-09-11 20:08:13
9
shaly :
my Landlord should see this
2025-09-11 23:23:31
29
Molly :
we drink vituko no wonder huku kwetu watoto wanahara
2025-09-12 18:08:26
8
EdyBundi :
uko sure nikiconnect kwa stima uta survive??
2025-09-11 19:37:06
20
essie2027 :
let me tell you sio rahisi vile video inainyesha, good work @👌
2025-09-12 16:57:11
14
Unfolding 20s🌱 :
Kunona imenisave sana🤣 atleast mom hawezi niambia nioshe ju sitatoshea kwa shimo ya kuingia🤣
2025-09-12 11:54:49
24
Anne💕 :
Unaosha na How much??
2025-09-11 22:51:03
11
WaFather :
I thought unapaka rangi ya white 🤣
2025-09-12 05:40:22
10
🇸🇸 thee_isma's💝 :
hiii fare tutaikula vilivyo😋😋😋😂😂😂
2025-09-12 19:07:22
5
ozonation :
hii kazi najua si rahisi nafanyanga👌👌
2025-09-11 19:45:43
11
Ng'ash :
A good work.... Congratulations......
2025-09-11 17:29:24
7
rose.alex254 :
na hiyo Maji watu watakunywa 😂😂,,mko miguu tupu 😂😂,,
2025-11-10 16:37:23
2
Samuel casper 👻 :
kazi safi🔥
2025-10-19 10:01:27
1
ketrina :
unaosha na ngapi
2025-09-13 02:34:28
2
Fayth BleHo ♉♾️ :
hii nikinunua first born ndio atakua anaosha😂😂😂😂 second born ni Kapumpum kama Mimi 😆
2025-09-12 22:04:35
3
To see more videos from user @davie.passionate, please go to the Tikwm
homepage.