@dr_ibrachenza: My Leader mr Manda mtu ambae alisababisha nikaijua Network Marketing na kuiamini mwaka 2015

Dr Ibrahim Chenza PhD(pc)
Dr Ibrahim Chenza PhD(pc)
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 11 September 2025 08:38:12 GMT
273325
14095
320
251

Music

Download

Comments

jirani007
Jirani 🇰🇪 :
Ukiona unaitwa sana kwenye fursa ujue wewe ndo fursa 😂😂
2025-09-11 14:09:07
177
zakiasultani7
zakiasultani7 :
Naona kabisa hii ni mbinu ya kuwaingiza vijana mkenge ushauri usikurpukie kitu kwa kumuona fulani kafanikiwa utakuja kujilaumu
2025-09-11 12:38:10
68
ibrahimchasamba33
ibrahimchasamba33 :
hawa jamaa ni matapelii hao
2025-09-11 16:02:29
9
babywame8
Njoroo :
Uncle BF SUMA ni Campuni ya FOOD SUPPLEMENTS HERBOL PRODUCTS so tafathali wacheni kutia vijana shida ya kujiona wasio faa
2025-09-11 16:29:11
17
_sabatojames
Sabato James Snr :
Mmebase kwenye business ipi
2025-09-11 13:03:11
7
patrickamon2015
Patrickamon2015 :
😂 Bongo mtaendelea kutapelewa sana
2025-09-11 14:38:54
16
elemo_tz
ELEMO COMPANY LIMITED :
Hakika kumbe mimi ni Tajiri zaidi ya Dr.Chenza😁. Kama ndio unafanya hii biashara basi huna cha kunishauri aise😂😂
2025-09-13 03:39:42
11
the_gint_
THE GINT :
Mzee ukimsogelea anasogea pembeni 😂
2025-10-26 14:26:18
2
pauloze81
paulogasper311 :
watu wa cryptocurrency
2025-09-12 18:00:40
2
iam_hugo950
Hugo's Hassan :
why people wanaona magari, na manyumba ndo Kila kitu kwenye mafanikio
2025-09-11 19:59:40
16
luganosemu7
Lugano Semu :
Nataka kuanza leo
2025-09-19 15:47:51
2
omar.hamad127
Kombo Omy :
Niunge bf Suma haraka kaka
2025-10-12 07:25:41
2
jjmjhg
jmy :
kwani ni biashara gani
2025-09-14 08:58:01
2
chriswill_4
Christopher wilbard :
Aaah kumbe biashara ndo ile network marketing 😂😂😂ukimleta huyu na yeye akamleta huyu badi utapa 2,000,000 kwa wiki, na wale wanne wakalete na wenzao basi na wewe kwa mwezi utapata 8,000,000😅😅😅
2025-09-11 15:51:21
14
hdpemba
HD :
ukitaka uchanganyikiwe inngia. bfsuma😂
2025-09-11 16:36:47
8
denis26190
Denis :
hahaha hakuna biashara raisi duniani ukiingia uwende ukakaze km huna uvumilivu km mm hutoboi 😂😂😂
2025-09-11 12:51:18
6
user6158465135827
urassag :
hii ni yangu katika Jona la Yesu
2026-05-23 07:31:48
1
kochanguvu
KOCHA NGUVU :
hhhh ila wewe kiongozi na Mwijage ukikutana nae mnanifurahishaga sana pia naendelea kujifunza mengi sana kutoka kwenu🙏
2026-03-12 18:17:56
1
222aden_
Aden222(Mwekezaji) :
BIG BOSS👏👏
2025-10-17 14:31:12
1
shokhufundula
Shokhufundula :
uko sure hii si forex 🤣🤣🤣 mu2ambie
2025-09-16 12:52:22
2
oscar.mligo
Oscar Mligo :
wapi
2025-10-05 08:49:31
1
gift_mastermind23
Dr. MASTERMIND 🇷🇼|🇹🇿 :
Natafuta mdada mwenye shida na Hela 🤝
2025-10-13 06:07:59
1
charles.kipingu7
Charles kipingu :
bro
2025-10-10 08:18:24
1
wateule2
DAVID :
KITENGELA NA SAWA NA MBEZI KIMARAA KWA WACHAGAA
2025-11-28 23:02:00
1
mtui284
Mwl. Riziki Mtui :
Upotoshaji wa kiwango cha 5GB 😂😂
2025-10-07 13:15:51
1
To see more videos from user @dr_ibrachenza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About