Sasa jongoo ni nini hapo,mbona mm sijaelewa hapo 😅😅😅
2025-10-07 10:34:17
16
Hallashaff :
Very nice content very inspiring ,emotional and educative
2025-10-19 09:53:29
10
~oo2 :
always Mama ni Mama tu
2025-09-17 13:10:18
14
Dr.Engineer :
Mafunzo ya klipu hii
1.mwanaume ukichangia figo jogoo haliwiki tena
2. Wake hawana shukurani
3. Matatizo ya ndani ya ndoa yanaanzia kusikika mtaani kabla kwa ndugu zako
4. Wanawake wote ni wambea
5. MAMA NDIO MFARIJI WAKO ukipata tatizo muone mama
2025-09-29 06:28:51
23
memsap boss :
subhananllah hizi nazo nikufudisha nini katika dini
wengine tumenyamazia Siri kma hizi zatuunguza moyo😂😂😂😂sijui tuzitowe pia
2025-10-15 10:20:23
14
user4143969291097 Nash :
Tupunguze wema binadam hawana kumbukumbu😢
2025-09-15 16:05:29
20
Amina Hassan KE :
jogooo halipandi mtungi eee📢🤣🤣🤣
2025-09-11 11:21:44
16
Jiji ✅✅✅🆗🛜 :
mtafanya nioe mtanzania 🥰
2025-10-08 12:38:00
5
UMMU FAWZAAN :
😂😂😂😂😂 keeee dada mstir myao yarabb
2025-10-14 12:29:01
7
MADAM 💞STRONG :
jogoo halipandi kumbe😂😂😂😂😂😂
2025-09-11 10:58:19
8
BABA AISHA🗨 :
😄 🤣 😂 huyu mama yuanifuraisha sana .yani yuaigiza kiualisia walai .mama anaupiga mwingi sana
2025-09-12 23:50:58
24
Said Gereza :
hapo kwenye Figo wataalamu watupe ufafanuzi
2025-10-19 05:27:33
7
The Ashissah :
mama hiyo Subra anavyoitamka vizuri had raha
2025-09-29 10:59:14
5
mwana :
mke ana haki sheria imeruusu lakin alitakiwa awe nasubra naheshema nauvumiliv talaka unaweza omba kiustarab ama akavumilia kwaubinadam akasubir uwezo wamung maana atamume ajapenda