sasa ukubwa wote huu kulikua kuna haja gani kuungana na zanzibar
2025-09-12 08:28:29
240
omary yusuph :
kwenye idadi ya waislam na wakristo takwimu hii sikubaliani nayo
2025-09-11 21:16:46
103
Tizirukwa🇹🇿 :
bonde la ufa ni nini?
2025-09-13 23:15:02
12
nee :
rekebisha hapo si hatujaunga na zanzibar zanzibar wapo kivyao na ss kivyetuu nd maana wanarahs wao na ss wakwetu alifariki
2025-09-28 10:45:46
43
MWAMBA CLASSIC wear 🛍️🛍️ :
Mimi nipo zaliwa hakukuwa na waisilam kwahy nilijuaga waisilam ni majini😁😁😂😂
2025-10-05 03:54:42
24
mtotonyau :
natokea kilimanjaro mm naitwa regina kabilalangu ni mpare ukoo wangu ni mmbaga mm kama mimi ninamiaka 18 niliishia frm2 niliacha shule mweziwatisa sijaingia ata mtihani sababu yakuachashule ni kwamba nilikua napewa ela siku zote yakula shuleni ila sikuhio mama alikosa hela yakunipa nikaamua kuacha shule lakin keshoyake nikataka kwenda mtoto wabamkubwa akanamby ukienda utapigwa utoro akanitia uwoga mpaka nikaacha shule mazima nimeamua kuwaambia hivyo ili nikiuliza swali nisije mkaniuliza mm ninani aya swali nikwamba kwanini tanganyika na nzanziba ziliungana naomben mnisaidie wakubwa zangu maana sijui sababu sio kwa ubaya
2025-09-12 09:34:59
7
said kaku :
MUONGO WAISLAM NI ASILIMIA KUBWA KULIKO DHEHEBU LOLOTE TANZANIA USIDANGANYE WATU
2025-09-13 03:42:11
17
Kevoo_Classic Tz🇹🇿 :
yan kwa jins Zanzibar inaonekana kwa Raman alafu wanatuvimbia😁😂
2025-09-12 09:00:29
38
user4552219415920 :
jafari njooo kwetu Burundi. we like you so much. keep up
et asilimia 35% za waislamu
kwenye hilo ni muongo mpaka umejidanganya nafsi yako bila kujijua
et kingereza ndio lugha ya kufundishia Tanzania 🇹🇿 duh!!!! kwenye hili pia muongo mpaka umeidanganga nafsi yako ,kiswahili ndio lugha ya kufundishia
2025-09-12 08:32:10
7
Purity test :
nenda taratibu sikusoma jografia
2025-09-23 04:05:15
5
QALLY BREEZY :
mzee nakuheshimu sana hiyo takwimu ya waislam irekebishe yani sisi tunaowa wake2 mpaka wa4 alafu tuwe wachache hivi unatuoana wajinga
2025-10-13 20:28:26
7
Babdio juma :
Jina la Tanzania nalipenda nkilisikia, ndo nchi yangu lkn uongoz wa serikali unanivunja moyo tena sana
2025-09-14 04:48:19
5
asinatmagege :
naipenda NCHI YANGU🥰🥰
2025-09-13 07:38:29
6
engineer abdully :
makabila yeny waremb tanzania
2025-09-13 12:13:25
5
Lawikhan :
sasa zanzibar iliongezwa ya nini 😂😂😂
2025-09-13 05:18:17
5
Official&CHWRY@BOY23% :
Unajua kuelezea kama mwalimu wa HISTORY pale shule big up broo
2025-10-14 08:58:15
5
kam :
inapakana na toreza
2025-10-14 06:01:42
5
FotenGallery :
afu tunakua Masikini 😁😁😁
2025-09-12 06:51:02
6
babe🌸fahyma🦋🌸 :
mbona haya maswali niliyakuta kwenye mtihani yote😂😂💔
2025-09-13 09:21:07
10
Sayuki Sheshushi :
waislaam ni wengi acha uongo
2025-09-13 15:09:51
8
Chief LUKUMAY :
hongera sana aisee Umejitahidi sana
2025-09-12 03:58:05
13
26kidar :
umesahau na hii braza 🇹🇿🔥🔥
2025-09-16 10:07:15
14
Michael Criford :
WANAOBISHA 35% NI WAISILAMU KWAMBA SO KWELI FANYA SENSA MWENYEWE UTUKETEE MAJIBU SAHIHI
2025-09-13 07:41:36
9
To see more videos from user @jafari_tourguide, please go to the Tikwm
homepage.