@doctor.nazar: Faida kuu za papai kwa mtu mwenye acid reflux👇🏽 ✅ Enzimu ya Papain – inasaidia kuvunja protini na kufanya chakula kimeng’enywe haraka → hupunguza pressure tumboni na kurudi kwa acid. ✅ Low acid fruit – papai ni tunda lenye asidi kidogo, halichochei kiungulia kama machungwa, ndimu au mananasi. ✅ Rich in fiber – nyuzi lishe zake huboresha harakati za utumbo (digestion) na kuzuia constipation ambayo mara nyingi huongeza reflux. ✅ Anti-inflammatory – ina vitamini C na beta-carotene zinazosaidia kupunguza uvimbe na kulinda kuta za umio na tumbo. ✅ Hupooza tumbo – tunda hili lina maji mengi na ladha laini ambayo husaidia kutoa unafuu wa haraka kwa kiungulia. #AcidReflux #creatorsearchinsight #AfyaYaTumbo #doctornazar #vidondavyatumbo