Allaahumma salli `alaa Sayyidinaa Muhammadini 'l-faatihi limaa ughliq, wa 'l-khaatimi limaa sabaq, naasiri 'l-haqqi bi 'l-haqq, wa 'l-haadi ilaa Siraatika 'l-Mustaqeem, wa `alaa aalihi haqqa qadrihi wa miqdaarihi 'l-`azheem
Allahuma swali wasalim wabariki aalasayidina Muhammad ,alfatihi limakhuliq ,walkhatim limaswabaq ,nnasril haqi bil haqi wal aadihi inasiratikal mustaqim ,wala aalihi wa aaswabih haqa kadari ,waminkadaril aadhwiim.
2025-09-25 03:11:04
11
Gomesa (جوميسا) :
SWALAATUL FAATIH
"ALLAHUMMA SWALI ALAA SAYYIDINAA MUHAMMAD AL- FAATIHI LIMAA UGHLIQA WAL-KHAATIMI LIMAA SABAQ, NAASWIRIL-HAQI BIL-HAQI, WAL-HAADIY ILAA SWIRRAATWIKAL-MUSTAQIYMI, WA ALAA AALIHI WASWAH-BIHI HAQA QAD-RIHI WAMIQ DAARIHIL ADHWIYM"
swala hii ya Mtume Muhammad (saw) na Jina lake Nimeandika Mwanzo Kwa Juu Kabisa, na Kama Wewe unafahamu vyema Kiarabu basi ingia hata Mitandaoni Andika Hilo Jina hapo Juu watakuletea. Insha Allahu....
2025-09-12 14:40:57
19
abraham :
assallam allekum mm nakuamini sn sn sbb hyo sala naijua vzr sn kiarabu kiswali na fadhila zake nyingi mno pamoja na wingi wa thawabu zake lkn pia inavyoponyesha marazi na magonjwa mbali hyo sala Ina karama zake lkn kabla kusoma unatanguliza utaratibu wa na idadi hiyo swala ni ufunguo wa maisha
2025-09-12 13:01:57
7
🦋Jaynah🐝جينا🥀 :
dada wambie maana sikuhiz wanafundishwa kuogea mikojo, mambo ya full moon wanajiita spiritual healing na hawatak ushahid, wanasahau mafundisho ya qur-an na sunna,
shirk imekua kubwa wallah, nmekupenda bure
natamani kujua ila nina uzito kwenye kichwa changu nifanyaje nimie niwe km ww
2025-09-16 16:15:49
1
Khan17 :
nakupend San dada yangu 🥰🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️
2025-12-04 00:08:04
0
Ally_K :
hi swala ya mtume n kiboko
Alafu kuna Ile swalatu Nariyati ehhhhh hii n balaaa juu ya balaaa
2025-09-14 07:54:16
4
Asmahoney Mashuka Quality :
kwaiyo unasoma atahiyatu zte kubwa na ndogo?au nasoma kubwa tu ndogo nasoma ktk sujud kasoro pale mwsho nnapoacha?
2025-09-15 13:33:02
0
popo :
mwenyezi mungu akuhifadhi
2025-09-20 19:19:18
0
wanjaa :
dada hiyo matamshi yako mi makosa sana. badala ya kufiata yako mtu aende google salatul fatih na atajua inavofaa kusomwa
2025-09-11 15:26:48
2
Sunniesmakeup :
Lazima tu hii specific swala ya mtume au unaeza soma zingine tafauti?
2025-09-16 15:09:46
1
sabra mamy :
jmn mm sjaelewa unarukuu au hurukuu
2025-09-14 19:20:25
0
user1679743068146 :
mm nauliza naweza kusaliya mtume sala yoyote nnayo juwa mm au
2025-09-14 19:52:32
2
أبو محمد :
الهم صل وسلم على سيدنا محمد الفاتح لما أغلق والخاتم لما سبق. ناصر الحق باالحق والهادي إلى صراطك المستقيم صلى الله عليه وعلى آله وصحبه حق قدره مقداره العظيم
2025-09-12 03:42:31
5
walelaally29 :
@Lollysugar7:Allaahumma salli `alaa Sayyidinaa Muhammadini 'l-faatihi limaa ughliq, wa 'l-khaatimi limaa sabaq, naasiri 'l-haqqi bi 'l-haqq, wa 'l-haadi ilaa Siraatika 'l-Mustaqeem, wa `alaa aalihi haqqa qadrihi wa miqdaarihi 'l-`
2025-09-12 18:30:29
6
user1532671191382 :
nakuomba tena iyo swala ya Mtume inandike kweny karatasi alafu uiposti humu nipate nionw man sis wengine elimu yetu ndogo kdg
2025-09-11 18:07:14
3
🦋✨️دبران_سالم 🥀 :
me nmeuliza swali hjanjib ntka kswali lakini sjafaham ...katka sijda ya pili untoa attahiatu na salam halafu ndo unrud kusujudu kwa kusoma izo dua na kuomba?? nfahamishe vzr apo samahan 🙏
2025-09-13 15:29:48
0
miimifirst :
Allahumma salli wasalim wabarik alaa sayidina Muhammad alfatihata lima ukhliqa walkhatimi lima sabaqa wanaswiril haqa bil haq wal hadi ilaa swiratwika
2025-09-18 12:36:18
0
user4950580960870 :
inshaallah ila fungua video tuseve itakua Bora zaidi kuliko kuandika SI wote wanajua kuandika ukhut
2025-09-14 19:05:55
0
Ahmadi Tuwa :
TUPE MAANA YAKE YOTE
2025-09-11 13:57:46
0
Ahmadi Tuwa :
UMEAMUWA KUTUELIMISHA ILI TUELIMIKE SASA UNASHINDWAJE KUTUANDIKIYA KWA KIARABU CHA KISWAHILI
2025-09-11 13:57:30
1
To see more videos from user @nakirahayoub73, please go to the Tikwm
homepage.