@utaridi.ci.media: Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT- Wazalendo, Luhaga Mpina ameshinda kesi ya kupinga kuzuiwa kurejesha fomu za uteuzi wa mgombea Urais iliyofunguliwa dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, na mahakama kuamuru taratibu ziendelee zilipoishia. Je unafikiri anaweza kushinda? #utaridi