@ntvkenya: You can now take Landlord to court akikatalia deposit yako? #NTVBeatzNBuzz @nataliegithinji @Laura Mbatha @djtwinizzle

ntvkenya
ntvkenya
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 11 September 2025 14:50:12 GMT
65480
3801
48
391

Music

Download

Comments

dredree36
dredree36 :
deposit ni ya repairs wacha ufala
2025-09-11 17:21:07
1
lil_o.s.m.a.n._
lil_o.s.m.a.n._✅ :
heri nijifanye mzuri nimwambie nitalipa late then hiyo end month akikam anatapa vacant na curtains kwa mlango 😂😂😂
2025-09-11 17:07:42
68
tabbykibugi
Tabbykibugi :
yangu nilinyanganywa yote 17k 😞😞
2025-09-11 18:26:24
0
juleschebet
Jules :
Thank you for this🤣 nimepatana na hii at the right time 🤣🤣🤣juu ndio nimehama kisniper sahizi tu
2025-09-11 17:16:51
4
mannix786
𝕸𝖆𝖓𝖓𝖎𝖝78® ☪️ :
Then lawyer akule 100k, kesi ikae 4yrs.
2025-09-11 16:14:13
50
baradiscol
the queen :
unambia tenant vizuri peana notice ukihama...but wapi until you become landlord utaelewa
2025-09-11 16:51:30
1
whitney_wangui
luna :
akikataa nayo enda na token box
2025-09-11 17:57:01
0
_nelka.a
NELLIES♡° :
SIAN RELATORS😒😒💔 nitawakujia
2025-09-11 18:23:09
0
hildahmatevwa235
hildahmatevwa235 :
acha niforwadie pepo ingine hii
2025-09-11 18:30:50
0
stacyjune123
sdiva :
nimepatana na hii kama nimefanyiwa ile kitu na landlord wangu.eish it's high time we deal with this hous owners🤣can u imagn painting ni 20k hao ya 2bedroom
2025-09-11 18:28:50
0
sommie_muthomi
Sommie _Muthomi :
Kuna Hawa landlords roho mbaya😭
2025-09-11 15:00:06
8
meme_aura2
Brian :
mkimaliza kuroboka muende mjenge zenu...huku si kwa mamako
2025-09-11 18:23:58
0
daisydee31
daisy dee :
can you speak about hawa agents wenye wanafunga nyumba b4 end month
2025-09-11 17:58:41
2
petronillafrank
Petronilla Frank😍 :
kuna hawa agent hujiita Terestam from Kiambu... very vague.
2025-09-11 18:11:20
0
hr25052021.t
Tabibo :
umesema aende wapi😂?
2025-09-11 18:02:33
0
salmonella254
☺️☺️☺️ :
then Io kesi itakukula more than Io deposit ulilipa
2025-09-11 17:46:52
0
anne.akello
Anne Akello 🇰🇪 :
me utakalia tu deposit ju sasa ntakutolea wapi na hii uchumi ya kasongo😅😅😅😅
2025-09-11 18:01:16
0
jwoyyey
jjmbbg :
😭😭
2025-09-11 18:01:36
0
joyjoynesss
joy🥳 :
Kuna Moja WA pipeline nataka kumpeleka vibaya , huyo mkisii walahi
2025-09-11 17:53:07
0
jeankiki24
Am kiki😍 :
benna
2025-09-11 17:44:38
0
ythjujnfhghhjk
sarvi :
i believe I have the best landlord 😂😂huyu Hadi utuchukulia takataka,,sijui huwa inachukuliwa lini .God bless that woman
2025-09-11 17:30:58
0
phrazy38
phrazlyn noni :
21 naishi extra month free
2025-09-11 15:00:03
1
sherrif.12
The Sheriff :
deposit ya maji inafaa kurudi?
2025-09-11 17:48:20
0
hovek6
Kevin :
mi nae mzae landlord wangu anakuanga fiti sana.kuna time sikua na job alinisamehe one month...
2025-09-11 17:46:26
0
jaredogembo7
jaychris Engr. :
endeni kwa affordable housing
2025-09-11 17:21:04
0
To see more videos from user @ntvkenya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About