eehh niliwaona weno apo njee morning around saa nne walikua wengi 😂😂😂😂😂😂adi Ile mbogi uvaa suti
2025-09-12 20:55:06
0
gyptoo :
kuna ingine inaitwa bf suma my friend 😂😂😂 acha tu
2025-09-12 17:37:29
20
Beverlyne kerubo :
39k aty neoverse package EDPlan wakora 😏
2025-09-11 21:18:30
31
precious254🇨🇭🇰🇪 :
Kuna Global Internet Fortunes 😂😂😂eiyyy waliniosha 4k,
2025-09-12 08:17:23
21
HIM🐐 :
kuna yenye inaitwa BVOY Nani ameskia kabla nioge 😂
2025-09-12 10:19:56
4
Lynn :
Beta own your life group na Collins Owaga walaaniwe wote na yule olare. Kila mtu huko walaaniwe
2025-09-11 19:53:54
101
️ :
Moja clean😂😂
2025-09-11 19:35:47
1702
Jamie Twain :
kama hujai fika hapa basi hujateseka hii Nairobi😂😂nlioshwa i know better
2025-09-12 06:33:03
164
Benoni J.O :
Goldmine wueeeh 🤣🤣🤣
2025-09-12 11:33:13
2
♈️ :
Kukua na strict parents imeniokoa aki😂😂
2025-09-12 03:29:27
334
✨🦋ju.ni.e🌸🍭 :
been to 16 classes😂😂do not recommend💔🙅‼
2025-09-12 07:02:47
3
𝓴𝓮𝓵𝓵𝔂🩵 :
heee nikona story pia mimi😂😂
2025-09-12 12:47:06
4
goasham🖤 :
success is not for everyone
2025-09-12 05:05:50
11
Aurora.dev :
wacheni tu nilie my 42k😭😭😭
2025-09-12 03:19:27
51
agnesauma :
my 29k na ilikua ya school fees 😭😭😭I will never forget
2025-09-12 14:29:17
5
Maracha Muthoni :
The economy is doing wonderfully 😂
2025-09-12 11:40:50
3
GURU 254 :
aty 8k mih niliambiwa kununua account uko ni 39,900 alf utafute referrals wanaeza toa 39k each , thats how unatoka block , na unapata benz in 1 year
2025-09-12 18:41:45
6
Nyla :
Back then I knew a guy who was the ceo named Lenny…… let me tell you maina he used to kopa Hadi food na morning Tao yeye ni ceo 😭😂then before nimjue Ati alikua Ana nitaka na karibu ani oshe 65k
2025-09-12 05:13:52
16
Skyee :
Mih niliambiwa ati niinvest 30k na ati iyo ndo the cheapest 😂😂
2025-09-11 18:10:40
183
elle_darq 🇰🇪 :
mm kuna ingine nliendanga tukaambiwa tu invest 24k the in 3 months tutakua millionaires bt ukiona msee anakusho utakua millionaire viatu imeinama side moja😳😂
2025-09-12 20:01:20
5
ndochkamaa :
🥹🥹my 10k😭😭😭😭😭
2025-09-12 10:00:28
1
mkayolefonia :
😂😂washai nikalisha apo kimathi 😂heeee na vile niliend mapema nikijua kameivana
2025-09-12 12:00:09
41
QS_kitavi :
8k watu Kumi hio Ni 800k
watu Mia hio Ni 80m Sio mchezo kumbe.
2025-09-12 08:06:17
5
To see more videos from user @dennoforyou, please go to the Tikwm
homepage.