@nurunaimani: USIINGIE KWENYE NDOA KWA KUTAKA KUCHANGIA CHANGIWA UTAFELI - SHEIKH AMIRI KASONSO "Maisha ya ndoa yanahitaji mipango, uwajibikaji na dhamira ya kweli, si sherehe ya kifahari inayotegemea misaada ya watu.” #mawaidha #maishayandoa #ndoa #Tiktoktanzania #mawaidha_swahili #UmmahMoja #mawaidha_kenya

NURU YETU
NURU YETU
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 11 September 2025 15:42:27 GMT
46483
5514
98
528

Music

Download

Comments

a_sslan
A'slan :
Leo nimesikia mawaidha ninayoyapenda 🙌🙌🙌🙌🙌
2025-09-12 05:58:27
0
9k.family
9K family 👪 :
aliesikiliza zaid ya mara 5 km mm gonga like apa
2025-09-11 17:57:59
8
_tunnuh
_tunnuh :
maisha now yamekua vise versa...km mwanamke hauna kazi,biashara basi ndoa utaisikia kwenye bombaa🙏
2025-09-12 06:53:11
0
alinny018
Alinny 🌹 :
Mimi siolewi tena mniache nibaki single tena nitafurahi sana😔
2025-09-12 04:26:48
0
creator.pilot.program5
@tiktok.creator.pilot.program :
Kiukweli huwa napenda sana kuskiliza mawaidha yako japo me ni mkristo
2025-09-11 15:56:56
33
elomo47
Cha papa 📊📉💹 :
Wanatukopa sana ela wanandoa mbaka wanatupa hofu ya kuoa 😊
2025-09-11 15:57:16
3
kumpetamungukujr
Kumpeta Munguku Jr. :
Hakika Sheikhe wangu
2025-09-11 16:45:36
3
tumabby37
tumabby🥰🥰 :
naweka status kwa kwel🤣🤣🤣 ahsant snaa shekh
2025-09-11 15:48:33
9
answarali2022
As'habul jannat00 :
Allahummah swali wasalim wabarik Aleihy
2025-09-12 07:18:05
0
adamclassic2
adamclassic26 :
Sahihi Kabsa
2025-09-11 17:55:15
3
ommy_martial.tz
🆂🆃🅰🆅🅾20⚽️🎮🇹🇿 :
huyu sheikh kasema ukwel sanaa🙌 ndo maan wengne tunasita kwnz kuoa
2025-09-11 17:20:24
3
outofmatrix765
OUT OF MATRIX :
Ukweli usiyopingika
2025-09-11 17:49:09
3
burock23
Urock23 :
🙏🙏🙏🙏ukwe mchungu
2025-09-11 20:13:07
5
marko57914
marko :
kweli kabisa mzee💪💪💪
2025-09-12 05:05:42
1
nasir.kaka87
Nasir Kaka✨️ :
usipo muelewa hutoweza kumuelewa tenaa maishan mwako Allah akufanyie wepes sheikh wangu🥰
2025-09-11 16:21:58
5
768571030k
Karim Msph :
Naaam
2025-09-11 17:38:11
3
hero_creative
BestCouples🥰 :
VIJANA HAPA WANAPIGA MAKOFI😂😂😂 KUOA MPAKA KIHAMA😆😆 ALLHA AKBAR
2025-09-11 18:04:36
1
machingaturbans
Machingaturbans :
umemalizaa kaka
2025-09-11 16:44:47
2
kasmoud76
76 :
Haya maneno ni kweli
2025-09-11 15:51:36
3
sharyf.1
حسن شريف :
Shukran Sheikh... Very true 💯
2025-09-11 18:58:29
1
fasalleky
mrFas_ :
SAHIHI
2025-09-11 17:13:47
2
rahma.ally25
Rahma Ally :
ni kweli
2025-09-11 18:11:40
2
abdalamingange
Dullah Ngange :
hakika tunajifunza kupitia nuru yetu Allah awaifazi
2025-09-11 18:34:42
2
nassrakay1111
Nassrakay💖 :
Tell them
2025-09-11 18:26:53
1
starjusa
starjusa :
mahali anatoa baba hyo n mila
2025-09-11 18:22:22
1
To see more videos from user @nurunaimani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About