@al.akhi.naasir7: Replying to @abudosaide14 Swalaatul haaja #swalaatulhaaja #islamic_video

Al Akhi Naasir
Al Akhi Naasir
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 11 September 2025 18:42:37 GMT
691226
50778
742
8859

Music

Download

Comments

user15469914696178
user15469914696178 :
Shukrani shekhe iidua niandikie samaani
2025-09-30 20:09:30
0
mamyhar
Ulu Uluharuni :
natamani iyo dua ingeandikwa maali ndio tuishike kwa haraka ustadh
2025-09-11 20:30:10
85
famauathuman
famauathuman :
walahi Allah akujalie sadak unazo zitoa ukazione kwa Allah
2025-09-11 19:11:37
115
ummru7
Umm🇹🇿❤️🇦🇪 :
Naomba utuandikiye shekhe Nakuomba san🙏
2025-09-30 05:42:04
0
queenkhadhifa
Queen 👑 khumayra khadhifa :
samahani ustadh muda wowote unamaanisha usiku muda wowote au hata mchana muda wowote
2025-09-20 20:43:14
5
zeinilu
uomilfat :
Hio dua waisoma kwa sujud au ukimaliza kuswali?
2025-09-12 04:44:07
35
mymah94
mymah 🧸 :
ostazi iyo Dua unasoma ukishamaliza swala
2025-09-11 18:58:34
13
rogers_himself
Rogers himself :
yafaa mtu kulia ndani ya ibada?
2025-09-12 17:45:47
11
rehemarehema85
rehemarehema85 :
hiyo duaa tuandikie
2025-09-12 06:02:39
7
prettyshira4
Humble pretty :
sorry but next time go straight to the point
2025-09-12 22:08:38
41
nuneada4
Madam Nuney Cordinator. :
Naeza omba mambo mengi kwa pamoja ama kila haja na swala yake.
2025-09-12 07:08:59
5
ayusha.salim
Ayusha 🦋🥀 :
Ilanikonaushauri kwannusifunguwe group ukatufunza zaid
2025-09-12 08:17:08
8
edukukabarid
Ammy daddy :
naomba ku Rudi kwenye msingi nme ghafilika ndugu mwislam
2025-09-12 21:46:51
9
samamelanin
mkaile)👑 :
naomba utuandikie iyo dua
2025-09-11 20:08:22
5
zainab.abdala7
Zainab Abdala :
ustadh sasa kama huwez kusoma kwa kiarabu unaweza sema kwa kiswahili
2025-09-12 04:52:53
6
user9588760590498
user9588760590498 :
dua hii ipo kwenye husnulimuslim sheikh?? ili niitafuta huko kwa kiarab
2025-09-11 18:58:34
5
user20575977118
user20575977118 :
Hasantee sana ostaz mungu akupe pepo ya dunia mbaka haer
2025-09-11 20:19:37
26
shadyagazo
shadyagazo :
mashaallah amin yarrab ❤
2025-09-30 14:57:04
0
user24516528650387
user24516528650387 :
Amiin InshaAllah
2025-09-30 05:17:56
0
nadhrajuma
nadhrat :
inshaallah
2025-09-30 05:32:28
0
user9916651755125
aqila :
jee kama hujui, ukasoma dua nyingine tuu
2025-09-28 14:14:52
0
user81524803083745
win :
asante sana ila utuandikie ttuifaham uzur
2025-09-30 04:37:23
0
adirusamadu
Adiru Samadu :
ahsant shkh
2025-09-28 10:59:37
0
jeihamso
Jei Hamso :
asante ustadhi lakini ungeandika ili tuifahamu vizuri
2025-09-29 16:46:02
0
user1090672919842
user1090672919842 :
Shukran kaka
2025-09-28 15:39:38
0
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About