huyu ndiyo alikomboa nchi apewe maua yake ,alijua machungu walio pitia watu,na mambo ya udini aliyasema yamejitokeza sasa
2025-09-12 08:40:42
2
Thomas Ngemo~shopify.com :
Mkoa wa MARA mbaka huko jijini MWANZA hatujawahi kutoa viongozi wabovu hasa MARA na haitakuja kutokea tukatoa shoo mbovu.
2025-09-12 07:24:14
2
Hasad isipo kuuwa itakumbua n :
kumbe uliona mbali sn baba
2025-09-12 07:16:19
8
peoples favourite :
uliona mbali baba lakini yupo kikwete anadhalau anataka mtu wake na familia yake utawala wa kisulutani
2025-09-12 04:35:37
9
Ramadhani Juma :
kumbe jmp alichukua akili nauzalendo naukweli wa mzee jrs
2025-09-12 06:20:31
3
STANS@ REAL :
hivi viongozi wetu awafatili hotuba za mwalimu jaman
2025-09-12 05:44:59
22
Dan carpet :
sikuiz ata katiba ya inch imechukuliwa kama hakina maana
2025-09-12 10:59:53
0
Igayo Jr :
Viongozi wa sasa wangechagua hata robo na uzalendo wa mwalimu tungekuwa na taifa bora sana. Mungu tusaidie
2025-09-12 09:05:45
1
furahagaudece :
kweli baba wa taifa
2025-09-12 10:32:43
1
user7931797681508 :
mabadiliko tyr na yapo mengi san sgr kila kona shule
2025-09-12 10:32:51
1
zookey :
mama yake abdul hana credit hata moja
2025-09-12 05:44:25
9
Men Abdy :
nikweli Tanzania wanataka mabadiliko nikweli
2025-09-12 10:16:01
1
Obedy Lomnyack :
mambo ni mawili tu j,k, Nyerere na j,p,magufuli akuna mengine
2025-09-12 06:05:22
2
m.w.k1figure :
baba wa taifa bado ni mbeba maono wetu tunamuenz ,mzarendo imara hata aliko kwa baba yetu mkuu🥰🥰
2025-09-12 06:04:01
3
Job12Emanuel Ayubu :
Kuna kiongozi na kiongozi bora sifa mojawapo ya kuwa kiongozi bora ni kuwa na hekima ya kutoka kwa Mungu ya kukuweshesha kufikiria na kuona zaidi ya miaka mitano mbele,kwa mfumo huu kila mtu anaweza kuwa kiongozi ila kamwe hawezi kuwa kiongozi bora,ipo nchi yangu itapata kiongozi bora na mzalendo kwa raia wake,nadhani ombi langu ni ombi lako pia,Mungu ibariki Tanzania🙏🙏
2025-09-12 05:37:18
2
hungwe :
Huyu mzee aliona mbali sana
2025-09-12 02:02:53
10
pasco757 :
Uyu MUNGU NI waajabu kwel uwez amini mwaka huu sikuwa nimezaliwa na ata sasa nimejifunza kitu
2025-09-12 07:30:04
2
jozeee :
nyie CCM kusoma msijue na picha nayo msiione kweli?? acheni ubeberu jamani,
ifike sehemu mumwogope MUNGU.
2025-09-12 08:51:10
2
lameck :
huyo samia amepuuuza hotuba ya mwalm eti atakiona cha moto atajutia maixha yake yote
2025-09-12 08:27:59
3
African choice 🎤 🎧 🇹🇿 :
Tanzania 🇹🇿 yetu ✨
2025-09-11 18:58:59
4
user519772299363 :
teacher,
2025-09-12 10:23:46
1
marko kivuyo :
viongozi waliokua wanajua maana ya ccm
2025-09-12 06:43:11
3
Tasher :
Tumebaki na 🗣️🙂↔️mama wa kambo mbona wanitesa sasa naondoka kaa peke yako🥲
2025-09-12 09:03:17
2
To see more videos from user @_notminethechoice, please go to the Tikwm
homepage.