@1chingaboy: daima mbele nyuma mwiko#yangasc #footballtiktok #football #footballtogether

BSM FASHION
BSM FASHION
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 12 September 2025 06:04:58 GMT
515509
26650
1450
606

Music

Download

Comments

asha.mbena8
Asha Mbena :
Alafu tunaomba samahani sana iyo voice ya meena ally ni kwa ajair ya simba tu nyie mngojeni shifta 😆
2025-09-12 07:52:13
774
user3860797579235
puchi :
anaesem yanga imetisha gonga like
2025-09-12 16:03:04
12
user6122625054773
baraka the prince guy :
video ya msimu jana🤣🤣🤣🤣
2025-09-12 21:27:28
0
barakacleanveck
Baraka Cleanveck :
ambao hatujaona jezi mpya hata moja tujuane😁😁
2025-09-12 12:03:23
144
1chingaboy
BSM FASHION :
mbona kama simba wana makasiliko bonaza lao si lisha pita lakini😂😂
2025-09-12 08:54:50
20
adedamola.omah
Brentjame :
ALAFU MSITUMIE SAUTI YETU 😁 WAJINGE KWELI
2025-09-12 15:26:17
11
user3815634451178
tilda Matty :
kama vinyonga 😂😂,msinifokee Nina mimba 🤭
2025-09-12 13:00:03
3
annamapunda44
y.r.o.s :
nyie shenzi kabisa hiyo sauti ni ya simba bana
2025-09-12 19:58:32
0
shammy.9094.yusup
shammy 9094 yusuph :
mikelele tu
2025-09-12 14:42:55
2
nyaruboytz
official Amos tz :
kushakuwa usiku mara hii😂😂😂😂😂
2025-09-12 11:45:00
231
neemaneemamarico
Ney marco :
tulikiane video 10 jaman
2025-09-12 15:25:51
11
rosemarybaha775
@sinooh_charless_tz :
my favourite team forever💚💛💚💛🫂
2025-09-12 14:45:56
1
nuhusighemnyese2
NUHU SIGHE :
ujue mnatuona kama matako yen
2025-09-12 14:34:50
3
devinalasemu
devinalasemu :
nawapenda wananchi wenzangu
2025-09-12 20:00:08
1
andreamatogolo116
matogolo :
KUMBE MNAJIFANYA ILA MNAPENDA KUIGA SIMBA HADI NA VOICE 🤣🤣
2025-09-12 20:50:46
1
boegaga
. :
ila yanga mmetukosea San izo jezii duu
2025-09-12 14:42:50
5
johari.bint.abdal
SWEET J 💅🧖‍♀️ :
ndomchukue voice ya meena wetu subirin aikuku😂🤣
2025-09-12 12:12:10
3
dickson.mordas
Dickson mordas :
mbona mnaiga voice ya kutoka kwa mnyama😅😅😅😅
2025-09-12 12:02:46
11
user.merry57
. :
wamepoa masikin na kutuibia sounds yetu 🤣🤣🤣🤣
2025-09-12 14:44:16
3
youngmkorofi
boe_brilliant👑 :
Mbn videos inaonesh usk na sasa ni mchana😂
2025-09-12 11:59:37
1
neema.onesmo4
ney 💦 :
hii video ya mwaka Jana maana hapo inaonyesha ni usiku😂
2025-09-12 13:35:59
5
minah_nyange
Minah Nyange 🦋♥️ :
Kwaiyo ukaona uchukue sauti yetu wanasimba 😂😂😂😂😂
2025-09-12 13:18:56
32
nailath.wa.hamis
@@nailath wa hamis% :
mamaee had voice mnafos simba 😳😳
2025-09-12 13:08:00
1
king.master1263
ainea nnko :
hahahaha yanga kw kukop amjambo
2025-09-12 14:42:01
1
regnaldvictoria
Victoria :
mbn mmeshaanza kuiga mapema iv iyo voice ilikuw n ya mnyama tu sio huku
2025-09-12 15:12:30
2
To see more videos from user @1chingaboy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About