@face.dental.clinic: je unahitaji meno bandia.Karibu Face Specialist Dental Clinic kwa huduma bora ya kinywa na meno,utapata meno bandia ya aina tofauti hii ni baada ya kumuona Daktari wa kinywa. Kwa mawasiliano zaidi tupigie 📞0656919109 #afyayakinywanameno #tabasamulako #dentalclinicdodoma #dentistindodoma #Tunajalitabasamulako