@kamndumi: ##creatorsearchinsights #simbaday2025

kamndumi
kamndumi
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 12 September 2025 13:34:13 GMT
315530
25110
579
468

Music

Download

Comments

maprosootz26
Maprosootz :
Alonishauli nishabikie yanga matako yake🥺
2025-09-13 05:10:46
426
pastorychristian
pmc :
mlituwakisha vizur I love simba forever
2025-09-12 20:31:03
148
maheer_25
Maheer25 :
ukiangalia vizur hakuna jersey ya msimu ulopita hapoo wote wamevaa uzi mpya🥳🥳🥳
2025-09-13 05:52:36
198
clinepaul14
Cline-Paul :
Ila kuwatetea yang ni ngumu kwakweli😂😂😂
2025-09-13 05:44:28
118
lydia22172
lydia22 :
Simba kwel team ya wanaume wadada tupo lakn sio weng🤣
2025-09-12 21:02:32
32
salkha.salkha.sal
Salkha Salkha salkha :
tumetish hakun wakufunik hii hat hao vyura hapafik hii itabakia kweny historiy
2025-09-12 15:12:10
33
markbright.msanii
Markbright Msanii retired GOON :
wow i really appreciate this on the truth Tanzanian league is on another level Hapa kenya tunangojea mashemeji derby 😭😭💔💔💔
2025-09-13 12:17:58
5
zainabuhassan979
Zainabu Hassan :
love Simba love mboso yanga wakasome zuchu kashindwa
2025-09-12 20:54:19
29
officialbby3
Johari :
🔥🔥🔥😘 Nitakufa na simba yangu 😘😘
2025-09-12 20:38:19
7
franktz336
Fŕáñķ🇹🇿 :
mweee sula zaoo zimejaa furaha wana simba 🥺🥺🥺
2025-09-13 07:38:19
18
ms.happy301
ms:lizzy💞 :
natamani kuizungumzia yanga ila nikikumbuka jana yai limetotoa foel nachoka 🤣🤣🤣🤣
2025-09-13 08:30:56
27
001girl0
girlfriend 💓👻 :
kwanza sauti 10/10 yaan mbosso haboi 🥰🥰
2025-09-13 06:48:36
19
zuh.mood
Zuh Mood :
Zuchu ni simba yanga tu bahat mbaya
2025-09-13 05:08:24
5
user9172504848620
Fetty ❤️ :
napend kuon simba tukiwa na furah☺️☺
2025-09-13 06:14:22
18
ms_.jada
Jada🌸 :
Yani nyimbo sio za kuchosha tuliimba mwanzo mwisho tukamalizia singeli 👌👌👌 vibe lilikua ataaar♥
2025-09-13 10:15:40
6
981faidha
fay perfumes :
kama demu wako anashabikia Simba mshikilie sana usimwache uyo ni mwanamke na ngai,Wana wake WA Simba wanakituniamini Mimi utanishikuru badae
2025-09-13 09:32:38
13
cyclone_978
Van Persie :
Kuwatetea wa upande wa pili NI ngumu jmn 😄🤣🤣
2025-09-13 07:12:40
9
user27433780888164
Wanyama simba wa yuda :
simba nguvu 1
2025-09-12 21:41:26
5
boss.lady76991
boss lady :
much love from Kenya
2025-09-12 22:31:26
5
festo.t
FESTO CHUMAMBOTO :
hapo 2mefungwa mara tano mfululizo vip 2kifunga vibe lake 😂😂😂😂
2025-09-13 08:32:01
8
ramadalleomessi
Kamchape Jr :
alichofanya Mbosso hata sie wenyewe mashabiki wa Simba ametupa mtihani sana kwenye matamasha yajayo ya Simba Day
2025-09-13 09:05:36
6
mama.khashil
Rey joe :
hiz ndii nyimbo za kuimbisha wanaume na sio Amanda😂😂😂
2025-09-13 07:35:35
8
evacollection25
Eve♍ :
Watoto wangu wataamua wenyewe washabikie simba au waondoke nyumbn kwangu 😁
2025-09-13 11:00:08
0
mgenmaryam
Mgen Maryam :
hakuna wanawake wanaweza kuvumilia raha maumivu kama wanaoshabikia simba ukiwa na mke .mchumba .demu oyaaaa mwanaaa mlindeeee sanaaaa
2025-09-13 12:14:14
0
shaymaa332
shaymaa332 :
acheni tu simba ni raha jmn hapo hatuna hata stress
2025-09-14 18:45:03
0
To see more videos from user @kamndumi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About