@mulengeworship6841: utupe nguvu baba utufariji tena#kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok #tanzaniatiktok #burunditiktok🇧🇮 #rwandatiktok🇷🇼

mulengeworship lyrics tv
mulengeworship lyrics tv
Open In TikTok:
Region: AU
Saturday 13 September 2025 00:37:15 GMT
3590636
185036
2610
12691

Music

Download

Comments

theresia.chezue
Theresia Chezue :
Mwenye karama ya uimbaji awezi pita hii post bila kusema lolote 🥰🥰🥰🥰🙌🙌🙌
2025-09-13 16:04:01
1009
itsgloria78
it's Gloria💘💝 :
please someone to check on me depression is killing me 😭😭💔
2025-10-19 10:07:52
223
user6263716035634
faty :
😭😭😭nipe nguvu Baba toka nimepoteza mwanangu nimekuamtunilie choka nahisi kukata tamaa Nina hasira Sana MUNGU wangu nifariji Baba najikaza lakini kuna MDA nahisi kushindwa nishike mkono Baba wambingu na dunia🙏
2025-09-13 18:05:42
440
gef7134
gef :
please someone to talk to me 😭😭
2025-10-18 08:33:27
41
decentdee1
Min Evra🥰♥️ :
someone to tell me everything will be okay😭😭😭😭
2026-05-07 10:37:19
6
ngla094
Ngala. :
Kuna wale Hatuna God Father isipokua tunategemea tu Mungu atusaidie katika hali zetu...Bila yeye tunaishia kukosa Nguvu ya kwendelea katika maisha.God intervin our life.God make our tears😭😭😭😭 to be Joy.
2025-09-13 21:07:57
54
sheev889
👣👣⌚👣 :
hugs to everyone watching this song May God open your doors 🫂🫂🫂
2025-10-02 18:55:06
30
user1431816912219
mirimirii :
utufariji mungu ukumbuke familia ya Betty bayo 🙏💔😭😭😭
2025-11-10 18:35:23
11
jeblen2
jeblen 💗 :
Daaah kuna watu wanapitia wakati mgumu sana na wengine wamekata tamaa ila nimewahi kupita kipnd kama icho ila Mungu amenikumbuka...Amin Mungu yupo na atawakumbuka
2025-09-19 17:04:34
6
maggiekim808gmail.com
Maggie ❤️❤️❤️ :
fariji watoto wa Betty Bayo Mungu 🥲🥲🥲
2025-11-11 04:45:01
41
recchorey93
recchorey93 :
Emungu wangu niwezeshe babayangu bila wewe siwezi 😭😭😭😭🤲🤲🙏🙏
2025-11-04 04:45:20
6
anord.petro5
Anord Petro :
Aminaaaa my sister Isaya 7:7
2025-10-03 08:47:39
8
membeyu
HaweRiziki💙💦💫 :
😭😭😭nipe nguvu baba🙏🙏
2025-10-20 19:45:36
6
naserian.sepere
Naserian Sepere :
wale wanaoamin mungu ndo mkomboziii wa kila kitu tujuane kwa 10/10 like
2025-09-16 14:01:05
57
ednahjoe3
ednah joe :
bila uwepo wako yesu hatunaa nguvu,,,
2025-10-18 10:45:45
9
user5323369387341
EZE KIHEGULO :
hakika neno lake ndio nguvu yetu
2025-10-18 13:59:15
6
s335164
Stellah💕 :
❤️❤️🙏🙏 MUNGU tupe nguvu tunayopitia ni mengi nakumbuka nilepotez mtoto wangu n mwaka w pili sasa lakn nashindw kusahau nipe nguvu MUNGU wangu
2025-09-20 12:26:40
9
user4993201811342
ashna :
Toka nazaliwa sjawahi kumwona baba angu huwa naumia Sana nikiwaona watu wanafrahi na baba zao Sana mno naumia😭😭😭😭mungu wangu hajawahi niacha🙏 🙏
2025-09-22 04:12:44
19
johnte910
Johnte wa chelsea :
ubaya ata mukiimba mbingu zishuke ile damu munamwaga Congo 🇨🇩 Mungu hatawasikiza
2025-09-14 08:14:54
64
user3599274635161
Mtumishi MUNGU0613 :
wanaomwamini YESU kuwa ni Bwana na mwokozi wao tujuane naanza mimi🙏🙏🙏🙏🙏
2025-09-16 04:22:20
22
ritakay22
Rita Kay💞 :
God I have cried , I have prayed, fasted, give me tuition God🙏🙏🙏🙏
2025-09-23 18:49:42
24
prophetmeyshak
Prophet Meyshak Khonde :
be blessed from democratic republic of congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
2025-10-07 00:00:37
19
user2425079057761
Joshua ntuyaa :
hii imeniguza hdi nimeamka kuomba very emotional 😭😭😭😭😭
2025-11-03 20:28:10
13
sue81034
Sue🥰✈️ :
Mungu hata ningekua wewe singekuacha uteseke hivi😭😭😭😭
2025-10-08 18:54:47
44
kipenzi09
kipenzi :
tulakiane video 20
2025-09-14 06:21:59
40
To see more videos from user @mulengeworship6841, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About