@chrislundatz: Ilikuwa siku nzuri kwangu kupata nafasi ya kuperfom mbele ya wananchi #yanga #yangasc #tanzaniatiktok #yangaday2025 #kenyantiktok🇰🇪

Chris Lunda
Chris Lunda
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 13 September 2025 06:11:33 GMT
227051
19661
585
125

Music

Download

Comments

ba.hafidh
BA HAFIDH :
Matajiri hawapendi kelele nyingi....hii ndio show ya matajiri safi sana
2025-09-13 06:57:07
149
chiefpeter1
chiefpeter1 :
Achana na yake mazombi hizi ndo show za watu smart 👑
2025-09-13 06:53:38
348
philipomlowe2
philipomlowe515 :
kaka ww ni fund
2025-09-13 17:44:18
0
charleswahinya_
Charles Wahinya :
Kama sio Bien sijui mngeimbiwa nini😂
2025-09-13 08:30:25
16
softchill8788
Softchill 💫 :
Me kuanzia Jana meamia yanga nataka furaha mm, Mambo ya uvumilivu ni kwenye ndoa tu😂😂😂
2025-09-13 07:54:14
142
bigdaddy567
bigdaddy567 :
Hii ilikuwa kitchen part ya nani🤣🤣🤣🤣🤣
2025-09-13 07:39:53
7
quality_pichambao666
Quality_Pichambao666🍷🇹🇿 :
Uliua my bruh nakukubal snaa💯💯
2025-09-13 06:40:02
22
jayone7664
JAYONE🌞🌹 :
HIZI NDIO SHOW HIGH QUALITY NA CLASIC SIO KAMA SISI SIMBA TUNAINGIA NA MAUCHAFU me walini udhi san HONGELENI YANGA 🔥🔥🔥🔥🔥
2025-09-13 07:29:06
38
pinkdolphin86
pinkdolphin 86 :
Uzur raha km izi unazipata mubashara Yanga tuuu😂😂😂😂💚💛💚💛
2025-09-13 07:25:48
65
user88125039380498
parisien :
the best Tanzania live 😇
2025-09-13 07:30:07
4
edsonadriano410
dino :
if u know u know👌👌👌
2025-09-13 06:22:43
19
champion0224
Champion :
more than good 🔥🔥🔥
2025-09-13 06:19:13
5
fak7_matelephone
Fak7 electronics &phone :
Waimbaji ndio wanaelewa kipaji chako kaka ni hatari sana 🔥🔥
2025-09-13 08:19:43
16
user854hopelover
️ :
Soo Goood Ooh🥰🥰
2025-09-13 07:03:58
5
reyca_makeup
Reyca makeup :
Msifananishe yanga na show za machizi ww Ona show very classic uwii 🙌🏽✨😫
2025-09-13 12:38:16
5
user3614461818853
🌟sicca bae 💝🤗 :
izi ndo show za wakubwa wanaojielewa 🥰
2025-09-13 06:55:23
4
mirizawilliam
[email protected] :
Big up sana brother 🔥🔥🔥🔥
2025-09-13 07:42:32
2
user5194493323613
*G de Prince*🔐 :
ukiacha zile performance za mazombi hizi ndo za watu wanaojielewa bhana 😂 smartness from the appearance up to the brain 🥰
2025-09-13 14:10:55
3
lizzy11040
lizzy11040 :
Bora ata ww umewakilisha 😫
2025-09-13 08:59:46
6
cutecate915
Cutecate 💞 :
keep it up babaa
2025-09-13 06:26:33
5
officiallily125
officiallily125 :
ivi we mshenzi unaelewa kama unajua sana lakini nisameh kam nmekukwaza 🙏🏽
2025-09-13 07:16:36
18
praq233
praq❤️ :
Ushuani❤️❤️🤣
2025-09-13 06:38:41
4
raphaelmilimo
raphaelmilimo :
Jana umeua sana kaka ila wazonlangu la saxophone bado hujalifanyia kazi
2025-09-13 07:35:47
15
nellykidolez5
🙏🙏Nelly kidolez⚽📖🙏 :
nyimbo za watu smart ,,sio yale mazombi😬😬😬yanga bingwa tena💚💛💚💛
2025-09-13 07:18:53
7
alkhalysisu
Alkhaly Sisu :
me ni simba ila apa uliua kaka
2025-09-13 10:26:25
6
To see more videos from user @chrislundatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About