Ndugu yangu mpendwa,
Najua unapitia kipindi kigumu, na moyo wako umelemewa na hofu, huzuni au kukata tamaa. Lakini nakuhimiza usikate tamaa kabisa. Mungu bado yupo. Hajakuacha, wala hakusahau. Maisha haya yana changamoto, lakini pia yana ahadi za Mungu zisizobadilika
“Kwa kuwa najua mawazo ninayowawazia, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa tumaini siku zenu za mwisho.”✨Yeremia 29:11
2025-09-13 12:59:38
125
🎀🎓✝️ :
guys my faith is weakening every day😢😢..am even am lazy in praying..am so unfair to God😭😭😭
2025-09-15 10:59:27
8
Samantha WOG. :
MUNGU mapenzi yako yatimizwe
2025-09-16 01:28:17
0
INDEED 😊 FAVOURED ❤️ :
Bali Mimi nitalitaja Hilo Jina lako 💪☺️🥰
2025-09-14 03:36:18
29
FERAH EURO :
🧎🧎😭😭💔🙏💯 Mungu nikumbuke😭
2025-09-15 20:16:30
1
Dennis :
this is Soo touching ,I just found myself in deep prayer 🙏🏿🙏🏿,if this happened like too😢😢😢😔
2025-09-14 10:44:53
9
Sheyla ❤️🫂 :
Natamani kuongozwa na mkono wako wenye nguvu, Amen 🙏
2025-09-13 20:46:50
25
shykow muthemba :
The Lord liveth in me.I will never disappoint Him.He is Able through me🙏
2025-09-15 18:44:27
0
anosiata nabintu :
une vidéo pour moi badugula
2025-09-15 22:19:37
0
user1706180103021 :
may god bless you 😭😭
2025-09-15 10:17:26
3
RUTRIPLE SYRAH :
Wacha nitaje magari
2025-09-14 20:47:35
0
phanny'b💥🚭👀 :
mungu aku pitiye kk mina taka niwe kama wewe
2025-09-15 19:01:57
1
favouredG :
Bali sisi tutalitaja hilo jina la Bwana... Aminaaa 🙏🙏🙏
Overpower all of me the way you truly desire 🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏
2025-09-14 20:24:08
4
user anne wawire :
bali sisi tutalitaja hilo jina la Bwana
2025-09-15 16:02:13
3
m@riamAmos :
mungu nilinde na umlinde anaye soma comment hii🙏🙏
2025-09-15 09:04:37
2
blessingskebbyfai :
I just love this God.
2025-09-15 15:01:51
1
petit djidor :
kk mungu akubariki sana iyi nyimbo ye una imba inaa acha imani yangu inasonga na inanitiya ngufu
2025-09-15 20:24:57
0
kiburi best💕💕 :
Nami nitalitaja jina la bwana
2025-09-15 19:06:26
2
Beatrice Kalist :
Ubarikiwe jamani unaimba vizuri 🙏
2025-09-15 10:47:04
2
user5321176197490 :
WE have only God 😭🧎🧎🧎🧎🙏🙏.
2025-09-14 19:20:37
4
MOMO🍀 :
Hii nyimbo kaimba nani
2025-09-13 19:56:38
2
Manu :
May the name of the almighty God be lifted high.
2025-09-13 19:53:19
11
Millionaire Florence :
nataka kuongonzwa na mwenye nguvu🙏💪
2025-09-14 06:28:07
9
Rose Mmary :
🤗🤗🤗🤗🤗am so happy🥰🥰🥰🥰🥰🥰 nabarikiwa Sana🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2025-09-13 20:51:44
4
Madame namuto ❤️💍 :
Una wezaka ni bariki kwanza 🤲🤲
2025-09-15 12:46:39
1
To see more videos from user @bendylan40, please go to the Tikwm
homepage.