@amani_dimile: #amanidimile

Amani_dimile
Amani_dimile
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 13 September 2025 08:38:44 GMT
633277
27485
399
5706

Music

Download

Comments

peterjackson_24
Peterjackson :
Mimii ctaki niwaaminishee lakinii kama ukipataa anakupaa furahaa ishii humoo...Mungu sanaa wajemenii maana watesii wengiii mind you vita ya hisia ni mbayaa sanaa,unakosa utulivuu ata wa ku focus n hataliii Mungu aanawapendaa msikosee kwenda kanisanii keshoo it's Sunday muombeanee
2025-09-13 17:44:45
133
joh9148
Joh. :
nyimbo inaitwaje please
2025-09-13 18:31:56
7
wizzydaddy02
wizzyDaddy :
Acha nitunze sirii kaka maana akili imenituma nim-tag kabisa shemeji ila nkaona ntaharibuu 😁😂😂
2025-09-13 10:49:42
8
nuuh655
nuuh :
Kuna wanaume wanajua kupenda jmn
2025-09-13 20:15:01
70
itsharmony360firstborn
✨ Harmony Home 🛏️ :
:sijui kwa nini nalia 😞😞😞😞nani aje anipende ,nani aje awe wangu 😌😌😌asihitaji tuu kulala na mimi ,,nahitaji kupendwa 😭😭💔
2025-09-13 21:23:52
17
mr.africa029
Mr Africa :
kwanini iwe nilikupenda sana isiwe nakupenda sana
2025-09-13 15:50:00
6
user2945056825811
saidat saidat :
ukienda geto kwa mushkaji mvua ikinyesha ukawekewa na aka ka nyimbo kwa sauti ya mbali unaliwa shwaaaaaa shwiiiiii shwooiaaaaa😂😂😂😂
2025-09-14 06:46:09
7
merina4351
@merina435 :
Kuna huyo mpenz wang anantesa nyiee😢😢😢 mpka sasa nimeona bora nishindwe mimi awe huru toka jana nimeona bora nijiongeze awe huru mapenzi nyoko sana
2025-09-13 21:03:48
7
suzanamozani
Suzana Mozani :
ndoto yangu nikuwa na mwanaume wakunidekeza kunijali nisahau magumu niliopitia yamenilemeq sana
2025-09-14 18:16:11
10
jacksonkagize
Jaivoirellenkagize :
hali ninayopitia kwa.sasa
2025-09-13 18:38:38
4
donasianomwapili1
baba Sophie 45 :
ndio ulichukuw jana
2025-09-13 16:51:51
6
magdalenasebasti3
Magdalena Sebastian :
hayoo manenoo sio magenii kwenye masikio yanguu,Amanii bwanaa😄 hakunaga huzuni inayodumuu nakukumbushaa tu🏃‍♀
2025-09-13 18:55:47
4
mwanaiddy.0
Fatuma 🤪🥴 :
hahhah kashatuwakilisha huko mwanamke mwenzetu , dah mshaur wangu nawe waumia 😂😂🤣
2025-09-13 09:36:59
8
queenfrida.ibrahi
officialQueenfrida :
nacheka ila sijui nacheka nn but aliependwa ajitahid kumpeda kakawawatu, ila mapenzi shkamoo nipo mbali nawaangalia watu wamapenzi
2025-09-14 07:47:29
3
itssimwanza0
mrembo dunia nzima 🥰♥️❤️☝️ :
nani huyo😂😂😂😂
2025-09-13 18:46:09
3
michaelwilium379
michael :
hayo maneno sio mageni hapa jijini labda kwa wageni jijini ila kwa sisi wenyeji ni maneno tuyoyazoea
2025-09-13 19:09:08
3
anoldkombe52gmail.co
anoldkombe52gmail.co :
kama ikitokea nimekuacha bs ukiwa mpweke nitafut Sababu nilikupenda na umeniacha gereza la huzuni usiache kunisalimia nataman kumaliza hii hukumu 😭
2025-09-14 17:20:34
2
baby.loml1
Baby🌺loml :
Nani tulikiane video 10/10
2025-09-14 15:42:00
4
nayuu243
nayuu :
Nyimbo inaitwaje?
2025-09-15 10:05:34
1
manifocx_
Manifocx🍁 :
amani jina kama langu alafu umetoa machozi iyo nyimbo nimemkumbuka mpenzi wangu merry tulipotezana merry mama uko wap😭😭😭😭😭💔
2025-09-14 03:06:58
1
teacherwarema
Warema warema :
good
2025-09-13 20:39:07
1
vin03.17.19
mrs samwel C.N🌀⚡🔥 :
iyovi hiyoo☺️☺
2025-09-13 19:52:32
1
jesca.yona.mtewel
Jesca yona Mtewele :
nakupenda pia dady☺️pole na kazi baba
2025-09-13 19:26:29
3
badnation77
BADNATION☠.. :
one love familiy💯
2025-09-13 08:59:43
3
amish3108
Amish 🇰🇪 :
Aki kuna jamaa nilimpenda daaaaah 😢 sidhan kama kuna mwanaume nitampenda kiasi hicho japo tuliachana BT nakuombea mema 🙏😢
2025-09-14 16:59:00
2
To see more videos from user @amani_dimile, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About