@unfuckwithable...un: MPO?? *Zaburi 55* *1 Ee Mungu, uisikilize sala yangu, Wala usijifiche nikuombapo rehema.* *2 Unisikilize na kunijibu, Nimetanga-tanga nikilalama na kuugua.* *3 Kwa sababu ya sauti ya adui, Kwa sababu ya dhuluma yake yule mwovu. Kwa maana wananitupia uovu, Na kwa ghadhabu wananiudhi.*

UNFUCKWITHABLE❤️
UNFUCKWITHABLE❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 13 September 2025 11:09:51 GMT
8684
338
17
121

Music

Download

Comments

obeto2023
Obeto :
2025-09-17 18:35:54
0
davis.kyl
davis :
wazalendo kama Hawa hatuwapi umakini inasikitisha Sana tunatakiwa kubadilika jamn , saivi hatuna viongozi
2025-09-13 19:12:08
0
bartazarkatendegw
Bartazar Katendegwa :
Kuna baadhi ya watz tena masikini na vijana ni machawa_yanapinga juhudi za kupambana na majizi na wahuni
2025-09-15 12:50:26
0
abl.mars
ASHERI MARS :
no reforms no election
2025-09-16 07:07:28
1
dalali_kigamboni_
dalali_kigamboni_bigwa :
dah inauma sana ila kuna majinga yatapinga
2025-09-14 22:28:18
0
kristine.rose81
Kristine Rose :
True
2025-09-14 18:25:32
0
hajilubwaza
Haji Lubwaza :
Polepole tu
2025-09-13 18:36:41
1
eliazary0
gabousgambali :
jamani tuwe makin tusikae kimya
2025-09-16 07:40:00
1
user71399812
Pst Mahona :
ifike mahala tuamke haiwezekani.
2025-09-13 18:55:43
1
user8045235006745
luandezz :
Tuamke,nchi ni yetu viongozi hawajali na kosa kubwa watanzania tunasifia viongozi nafisadi.
2025-09-14 13:57:28
1
generoza.vicent
GENEROZA VICENT :
jamani tarehe 29 tuandamane wote,
2025-09-13 21:11:38
1
elune.ritte4
Elune Ritte :
Saiv tutaingizwaa hataa vidolee matakon
2025-09-13 12:10:27
2
mbullaj_
Mbullaj_ :
Sasa hivi kimyaaaaa 😭😭😭😭
2025-09-13 16:36:36
1
saya.rorya
Saye Rorya :
Tatizo vyombo vya dola wanatumia mitutu kuwatisha wananchi na kuwalinda mafisadi ambao hata na wenyewe wananyonywa poa tuu ipo siku
2025-09-13 17:24:00
1
shukuru4312
shukuru :
nchi ya wachache
2025-09-16 10:02:54
1
user2382255681571
user2382255681571 :
Leo nimekuelewa Magufuli
2025-09-13 12:54:51
2
mchungajiraphaelc
Mchungaji Raphael Christopher :
👍👍👍
2025-09-14 18:37:14
0
To see more videos from user @unfuckwithable...un, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About