@africatv.2: “Uiktaka furaha ya kweli kuwa karibu na mwenyezi mungu” 🎤 Sheikh Yusuf Abdi 👉 "Africa TV – Muongozo wa maisha" #AfricaTV2 #AzamTV #DaawahAfricaMasharik
mi nimeolewa lkn kila siku ni kulia tu,furaha pekee ni kwa mola tu,mume mwenyewe mtihani tupu
2025-09-28 13:41:59
88
Rammonah's Golden Bites😋 :
HUU NI UKWELI USIOPINGIKA,ALLAH ANATOSHA NAYE NI MBORA WA KUTEGEMEWA
2025-09-29 12:25:25
45
ROSHMA OMAR 30 :
nikwel miniliolew miak 6 kweny ndoa furah niliipat mwak wakwanz t kuanzia hap nikulia had nimeachik karibun n mtt sikupat angalau akanifut machoz nip pek yang 😭😭😭
2025-09-28 20:17:07
22
mtumwahamidu :
Alhamdilah nna furaha baada ya kufiwa na mume wngu sasa nimejibiwa subrah yngu nimepata wa kufanana nae mwenye huruma🥰😭
2025-09-30 12:07:53
4
hania bby62 :
kweli alhmdulillah nashukur kwa allah 🤲
2025-09-29 17:55:40
3
user2020048706536 :
ni Kweli Mwenyezi Mungu awahukumu wanaume wote wanaowaumiza wake zao
2025-10-24 20:04:12
3
pretty🌹 :
kweli kabisa
2025-10-23 15:42:51
1
Saada Muhammed203 :
💞💞shukran Allah akuhifadhi sheikh wangu
2025-10-04 14:44:06
5
da tee :
صح
2025-09-28 13:02:39
6
@Ukhty shaa🕋🕌🧕🧕 :
swadkta sheikh wang Allah ndo Kila kitu
2025-09-28 13:34:55
9
Rafia love :
Alhamdulillah🤲
2025-11-24 08:25:47
1
official Jamillah :
Iñsha'Allah Allah atujaalie kheri
2025-11-23 08:13:24
1
amimi :
Amiin
2025-09-30 18:13:25
2
Hawa Abdallah :
Maasha Allah!
umenibadisha fikra zangu
2025-09-28 21:51:53
10
Jeyham :
Hakikah Allah ndo wakutegemewa🤗🤗
2025-09-29 13:49:57
4
zein :
Allah na wewe akupe nguvu kwa kututia nguvu ma single mother
2025-09-29 09:04:27
15
Rizi Khan401 :
wallahi uyasemayo ni kweli sheik furaha inatoka kwa Allah na sio kwa waume! Alhamdulilah allah karim
2025-09-28 22:17:06
7
Aisha Mohamed :
shukran sheikh sahihi maneno yako yamenitariji na kuwa na amani zaidi alhamndulillah shukran YAA RAB
2025-09-28 10:17:50
7
Silence killer 👀🤙 :
sio kila mwanamke jaman analilia mume na mapenz ila maisha yan...😭
2025-10-02 15:01:22
2
Fatmah Garoo :
ya rabbi 🤲🤲🤲 Alhamduillha
2025-09-29 05:54:16
2
ukhty salma :
Shukran Sanaa sheikh ndoa zenywewe sku hzii mtihani
2025-09-29 11:05:06
4
Aisha Mohamed :
alhamndulillah asante sana sheikh Yusuf
2025-09-28 10:18:38
2
Aycha Custódio :
Alihamudulilahi
2025-09-28 14:44:50
1
aisha :
nikwel kbs mungu ndo kilakitu maishani kwangu
2025-09-29 05:08:23
2
To see more videos from user @africatv.2, please go to the Tikwm
homepage.