Hii ni kweli kuna watu wanakufa kwa kukosa watu wa kusimama kuwaombea
2025-09-14 11:13:05
15
morio 123 :
baba Mungu najiunganisha na haya maombi mbadilishe kijana wangu aache pombe na bangi kwa jina la Yesu😭😭
2025-09-16 08:15:25
15
mai martha50 :
mm naamini kifo hakitokei bila mungu kukubari kuw ufe
2025-09-14 11:11:11
15
nyamisi :
baba Mungu mponye mwanangu richard 🙏🙏
2025-09-14 18:43:12
8
user97494036 :
Emwenyez Mungu nitenge mbali na hizo roho za mauti magonjwa,dhiki, njaa,vyote ambavyo vinaweza ninyima amani juu ya familia yangu na uzao wangu kwa jina la Yesu🙏🙏🙏🙏
2025-09-19 04:55:17
4
Grace Linda :
Nakataa roho wa mauti katika jina safi la YESU Amina🙏
2025-09-16 20:53:25
2
Lily_0000 :
Nageuza mabaya kuwa mema kwenye maisha yangu
2025-09-17 08:47:30
2
sara saumu wanjala :
Amen Amen nafunga kila roho mbaya za maangamizo katika family yangu kwa jina la Yesu 🙏
2025-09-15 13:04:43
2
Mildred :
Oooh Hallelujah
2025-09-14 14:09:52
1
Ushindi👊💪 :
kweli
2025-09-14 09:53:35
1
🦚E.D.l.T.H🦚 :
Kwa jina la yesu nakemea🙏
2025-10-13 20:06:29
1
moise :
amen amen amen kwajina la yesucristo amen
2025-10-12 17:03:57
1
millah :
Amen Amen 🙏🏿
2025-09-15 04:26:55
1
Maryomary@254 :
Amen barikiweni sana watumishi wa mungu
2025-09-26 18:47:07
1
Sosang30@ :
Ameen🙏
2025-09-15 10:23:39
1
user6pha5218216608310 :
ameen
2025-09-15 14:40:57
1
larosemuvambi :
Baba Mungu chunga ndugu zangu mume Wang watoto Wang na mimi apa
2025-09-16 18:14:21
1
Furaha Dada :
Hiyo nikweli kabisa Mungu awa bariki sana
2025-09-16 21:32:52
1
@saracha5 :
amnia amina kwajina la yesu nasitisha kila mabaya kwenye kizazi changu
2025-11-10 18:10:54
1
Herena Mwiba :
tena kweli Mungu yupo
2025-09-14 11:46:47
1
~Manka neza~p🇨🇩🇨🇬 :
Amen
2025-11-11 10:14:50
1
palo anne :
rip j ugesema tu nini inakusubua kuliko kijichija kama kuku😭😭😭😭😭na mabati
2025-09-19 19:42:10
0
Mwanaharusi :
Amen 🙌 Amen 🙌
2025-09-20 18:43:03
0
wandisairene :
True yyte anaenionea ashindwe kwa jina la yesu
2025-09-20 15:54:03
0
To see more videos from user @lillianmwasha, please go to the Tikwm
homepage.