Kabisa umaskini wa kwanza ni fikra zako jinsi unavyo chukulia vitu mtu unakutana na fursa lakn unaichukulia kama utapeli kumbe hamna kitu sio kila fursa ni utapeli
2025-09-15 15:34:47
2
FEZARA.G 🐓 :
jitahidi uende kwenye point mapema ni ushauri tu
2025-09-15 08:13:42
18
junaasan😍✨ :
Never ever
2025-09-16 10:28:53
2
it's -mature✨💞👣 :
uwezi kwenda straight bro
2025-09-15 12:18:15
7
IMA .electronics services. :
usijaze watu kelele nyingi wape watu kazi uone kama hawana malengo unabweka sana .nyie ndo mnafanya vijana amabao hawana ajira wawe mashoga...toa furusa acha maneno.
2025-09-15 16:38:17
2
Aman Paulo :
sawa mkuu nipo tayari kujifunza
2025-09-15 16:04:12
2
don_casterr__ :
Mwamba anakimbiza 70 M + kila mwezi 🔥🔥🔥
2025-09-16 10:29:46
7
Angel disney :
acha uongo wewe wenyewe nitajiri?
2025-09-15 06:25:03
7
matson yustace :
ongea point ,,,hujui kuelezea kituu
2025-09-15 13:14:08
5
BARAKA MANEGABE :
Aksante sana kaka maneno yako yana jenga,
2025-09-15 06:33:41
3
ramia :
upo sahih
2025-09-14 22:09:51
5
Anniegly ♓️ :
Mbona umeongea point Alf watu wanakasirika
2025-09-15 13:25:25
4
🅝🅐🅝🅓🅞🅢 :
We jamaa, nime kufollow naamini ntabadili kitu
2025-09-29 00:07:47
0
mohamedi mnyika :
mhmm huyu hamna kitu 🤣🤣
2025-09-15 06:37:31
2
Paul_Designer :
😂😂😂😂😂 utapakwa mafuta sanaaaaaa...aaaah ila kiongozi we tupige spana tu 😂💪💪
2025-09-14 20:27:27
5
MarianaKinawa :
Jifunze kwenda kwenye point fasta fasta 😭
2025-09-15 13:03:31
3
Aman Paulo :
pia elim kaka kama umeishia 7 kama mm inawezekanaje?
2025-09-14 16:47:19
6
bukusu from bungoma :
saan tena saan umasikini
2025-09-15 05:40:49
2
~qurayshy~ :
follow up tajir wa kihaya
2025-09-14 19:21:49
2
Ndunguru_james :
Kiongozi nipo ruvuma songea mbinga na wenye matatizo ni wengi huduma yenu BF SUMA ingekuwa bila shaka mnge tatua shida za watu wengi uku ingefaa muweke ata tawi ndogo mfanyakazi nipo apa mwenye hofu ya mungu na diploma ya manunuzi(TIA DAR) nimetumwa na muumba nitoe taarifa hii kwenu muweze kusahidia watu wa uku nyumbani kwangu.🤝
2025-09-15 04:20:14
4
isaq :
For sure🤝🤝🤝
2025-09-14 15:51:04
4
temalirwaniweabig :
Safi sana mwanangu ✍✍✍✍
2026-01-08 18:04:01
0
@duke boe🌵✅ :
2026
2026-04-25 14:32:08
0
ninini :
kaka unatufokea😂🙌
2025-12-24 21:36:03
0
To see more videos from user @mwijagemindset, please go to the Tikwm
homepage.