nilichambwa na mama mchungajii kile kichambo hata uswahilin sijawah kukisikiaaa😂😂😂😂😂 mamae yule maza daaah
2025-09-15 12:51:36
12
Miriam neneka :
Yuko sahihi uelewi kam ujaishii na walokole 🙌
2025-09-15 07:11:51
76
Maggiekimea :
Kwahiyo ww huwa unaenda kanisani kusali au kuchuguza watu??.......😏
Nenda church Sali ongea na Mungu wako alf endelea na Mambo yako Binti...
2025-09-15 19:06:04
0
toto chawe :
hahahahha uyu atakuwa aliumzwa na mkak wa praise🤣🤣🤣🤣🤣. o
2025-09-15 17:03:45
3
Elly 96 :
ulimpata mpuuzi mmoja bhana mzungumzie huyohuyo usi_generalize
2025-09-15 12:56:50
1
Broka Genius :
huyu sio mzima 😅😅😅
2025-09-14 20:44:33
1
GGM :
Kuna wale wanaojihesabia haki yaani kwa sababu mtu anaingia kanisani kila siku basi nyie wengine wote mnaonekana hamna thamani mbele ya Mungu
2025-09-15 13:01:52
3
Lameck Sidy :
shida yenu mnawachukuliaga watu wa kanisani kana kwamba wao ni malaika; ndio maana yanawakuta mambo hayo, yakuwaumiza.
2025-09-15 08:36:48
16
George Lumanga :
so deep, sad truth😏
2025-09-15 18:58:43
0
White_international :
kanisa gani kua specific your too general 😎
2025-09-15 12:59:23
1
Neema Msuya :
nina mengi ya kusema juu ya watu wa kanisani...tena mashahidi wa Yehova yoooh
2025-09-15 08:06:32
6
bembe11 :
we ulijua wale malaika?
2025-09-15 19:16:08
1
thelifeofdavieh :
What podcast is this ?
2025-09-15 14:33:24
0
bao chao Le :
wakristo ni wasenge hasa hawa walokole
2025-09-15 18:08:56
1
MAN OF GOD :
CHURCH TUNAENDA KUTENGENEZWA ILI TUWE SAWA KAMA MUNGU ANAVYOTAKA
2025-09-15 09:11:56
2
dsimba :
siyo kweli ukisema hakuna watu waongo kama kanisani, ofcourse wapo lakin siyo to the same degree kama maeneo mengine and I would love to commend their efforts coz pamoja na dhambi wanazopitia atleast they're striving to conquer them.
2025-09-15 13:27:16
3
Isaya Mgeta :
ukiona wanakuumiza ujue ulianza wewe😂
2025-09-15 08:01:31
2
EdwardDismas_ :
🙌🙌🙌ooh hallelujah
2025-09-15 19:40:32
0
Binadamu wa kale :
wanahukumu hao 😃 wana vitisho hao 😃
2025-09-15 05:15:38
3
Minister EI :
sema vijiwe vya kanisani sio kanisani tatizo mkifika kanisaninbaada ya ibada kunavijiwe mnaunda lazima uumie
2025-09-15 19:48:09
0
DAWA ZA KIHAYA :
na uzinzi uko uko
2025-09-15 13:23:24
1
T'anti :
nimempenda huyu dada
2025-09-15 13:30:38
1
Aston John Carter :
WAGALATIA 6:1-3 Ndugu zangu, mtu akighafilika katika kosa lo lote, ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole, ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe. Mchukuliane mizigo na kuitimiza hivyo sheria ya Kristo. Maana mtu akijiona kuwa ni kitu, naye si kitu, ajidanganya nafsi yake.
2025-09-15 12:41:27
1
Emanuel Mmbaga :
wabovu
2025-09-15 11:37:11
1
Champion Design :
wewe ujafika kariakoo🤣
2025-09-15 19:08:40
0
To see more videos from user @msasa_podcast, please go to the Tikwm
homepage.