Psalms 39:4🥺♥
“Lord, remind me how brief my time on earth will be. Remind me that my days are numbered— how fleeting my life is.
2025-10-08 10:00:08
1
Raheli nyanje :
nice song
2025-09-15 10:03:11
1
CJ ELECTRICAL INSTALLERS.🦺 :
mshale wa saaa unatembea polepole
2025-09-15 11:46:52
6
Nancy regnald :
Mamy unaimba sana jaman MUNGU AKULINDE NA KUKUTUNZA KWA AJILI YA KAZI YAO ♥️♥️🔥🔥🔥❤️❤️🥹🥹🥹🥹
2025-09-15 13:39:06
3
Decute🧿✨ :
Unaitwaje huu wimbo🙏
2025-09-16 05:41:37
4
ZAWADI CAKE&BITES :
nyimbo nzur sana barikiwa
2025-09-15 11:23:48
4
chiphinny :
Am here mbona sijaona huko youtube🔥🔥
2025-09-15 12:25:16
0
Ever -beauty-salon :
Nyimbo nzuri sana 🥰 Nyimbo zako kwakweli Zinanipaga nguvu ashwa pale ninapo taka kukata tamaa dada Rehema Mungu akubariki sana sana🙏
2025-09-15 16:18:36
4
Bosi❤️👀 :
baraka Rehema nyimbo zako ni za baraka kweli🥰🥰
2025-09-15 10:37:21
2
Edwin Mount :
KATIKA KUTAFUTA KESHO ILIYO BORA, TUNAKUTANA NA MENGI SANA. TUNAKUTANA NA MEMA LAKINI PIA MABAYA. KATIKA YOTE HAYO, EE MWENYEZI MUNGU TUKUMBUSHE KILA JAMBO NA WAKATI WAKE NA UTUSAIDIE SISI, TUSIJISAHAU. 🙏🏾
2025-09-16 19:00:25
1
Jackson Magari Tz 🚚🚙 :
barikiwa mtumishu
2025-09-15 11:01:01
1
Talkwithsophia🇹🇿 :
Yes LORD❤️🥰
2025-09-15 19:47:24
2
@Miss-Angel🦋 💖 :
I wish tarehe 19 Sept uimbe wimbo wa neema yako 😭😭😭huwa unanipa kutafakari sana welcome mama ushirombo
2025-09-15 10:05:26
2
dayanakitchen01 :
Am shading tears 😭😭😭😭😭😭😭
2025-09-15 15:31:24
1
user3572378310796 :
Amen, barikiwa sana mtumishi wa MUNGU aliye hai.
2025-09-16 09:09:22
2
Pipi :
Yaje mema,yaje mabaya Ee Mungu nisaidie
so so deep😊😊😊
2025-09-16 09:48:02
1
God Over Everything :
😭😭😭😭😭😭kutana na Haja za Moyo Wng Mungu 😭😭😭😭😭Ktk hali Zote Bado Nakutegemea 😭😭😭😭😭😭
2025-09-15 21:07:18
1
Thrift by Larry “TL :
from pale kilele by Sarah k ♥️drop a heart for that song.
this too can't wait🥰
2025-09-15 21:40:41
1
. :
tangu niupate youtube nimeplay na ni mpaka Roho wa Mungu aseme imetosha sasa😊 ahsante Mungu kwa maombi ya shukrani
2025-09-15 12:34:32
1
Joansia Msengi :
tukipita katika moto, ni ngumu sana kumuelewa MUNGU , lkn niamini mm JARIBU ni mtaji ,yeye Bado ni MUNGU TU , wakati wake ni SAHIHI SANA🙏🙏🙏🙏🙏nakufurahia YESU wangu .
2025-09-15 16:13:16
1
NAYASARDINES :
my favorite song finally has come out🥰🥰🥰
2025-09-15 11:23:36
1
pina🥰🥰 :
wimbo mzuri dada Rehema lakini maji jagwani ndio bado tu haujatoka 😔😔
2025-09-15 10:48:55
1
To see more videos from user @rehemasimfukwe_, please go to the Tikwm
homepage.