@mikegold369: KUKU Mtu wa kazi, Sina hela niachen kazi. hii ni bongo wazee. Vijana 80% bado tunaishi chini ya Dolla Moja $1 kula yetu ni Moja bila na nikatikati ya usiku na mchana. Akili mingi A'Town ukiziba rodi enyewe umejaa. #Arusha #tiktoktanzania🇹🇿 #kazi #russia🇷🇺 #usa🇺🇸