@wally.g001: MWANZA TANZANIA 🇹🇿 Which town is better ?? Mwanza vs Arusha.. Mwanza is a beautiful lakeside town located on the shores of lake Victoria. #tanzaniantiktok🇹🇿 #daresalaam #arusha #serengeti #tanzania

WALLY. G
WALLY. G
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 15 September 2025 16:18:20 GMT
297494
13226
399
821

Music

Download

Comments

jeanclaudeboma
Jean Claude Boma :
Mwanza is more beautiful than Arusha✅
2025-09-16 05:57:22
113
iddi290
iddi :
mwanza kwa ukubwa ni kubwa lakn kwa uzuri haifiki arusha kumbe mwanza pakishamba 😂
2025-09-16 14:32:11
47
kijino34
KIJINO🦷👑 :
Mji mzuri lafudhi sasa 🔥🤣🤣🤣
2025-09-15 19:00:52
63
kingimelody20
king melody 20 :
kama wa mwanza gonga like nakubali sana nyumbani
2025-09-15 20:26:48
89
mariammtale
mariammtale :
kigoma na hatuwaz wala nn
2025-09-16 07:06:30
11
goingwayup
mecskii :
Mbna mji hauna magorofa marefu
2025-09-15 18:17:26
5
sayunijohn1
John :
my Rocky city -jiji langu pendwa
2025-09-16 11:53:58
20
mlugulutoleojipya
NGUYA (HK) :
watu wanashindana kwa magorofa alaf kwao nyumba ya udongo 😭😭😭
2025-10-12 22:56:25
5
affemo.abelly
༒☬𝑯𝒂𝒇𝒇𝒆𝒎𝒐 Visuals 📸☬༒ :
Kama unatokea JIJI LA MIAMBA tujuane hapa 🔥🔥💪🔥
2025-09-16 13:05:01
9
guru_genius
GURU :
Mwanza ni Pazuri sana aisee. 🔥🔥
2025-09-15 19:54:10
19
bnf_csx
crsder :
sas hichi kijij cha mangosha ndio wanakifananisha na dodoma au arusha kweli ???
2025-09-16 06:52:58
10
amiry_khan40
amiry_khan⛎ :
mwanza ukiangalia kwa juu ni nzuri sana tuingie kati apo nyashishi,makoroboi😅😅
2025-09-17 10:52:00
5
georgegiga373
George Giga :
Sasa nimejuwa Mwanza ni mji wa vibanda umiza yan Arusha ni ulaya tatizo picha za juu arusha inaonekana miti mingi njooni mtembee chini kama utarudi 🤣
2025-09-21 04:54:33
5
255_tycoon
255_tycoon :
Kumbe mwanza kuna kiwanja cha mpira
2025-09-18 07:53:10
1
peternassari
Coach Peter Nasari 🇺🇲🇹🇿 :
Ni huzuni kwakweli 😁 Ulivopost zile video za arusha watu wa mwanza walijitapa ni zaidi ya Arusha Sensa inaonyesha Arusha ni ya pili kwa majengo mengi marefu nyuma ya dar tu Sasa ndo nini hiki😁
2025-09-16 09:51:53
5
sadikisa09
sadikisa09 :
najuwa watu wa alusha wanaumia sana nabado
2025-10-02 14:42:51
0
blaccangel22
angel :
1. Dar 2. Arusha 3. Dodoma (itakuwa ya 2 soon) 3. Mwanza. 4. Tanga.
2025-10-05 18:09:37
1
wdg815
Wdg :
Kwani mji wa Mwanza upo karibu na bahari? nilidhani u barani! Nauliza tu...Mimi ni Mkenya
2025-10-25 08:07:36
3
user4573805456590
osariyoo Junior😜23 :
rock city jiji la heshima babu muulize kwnn mondi alishuti video ya nyegez
2025-10-22 20:41:52
3
sarah.onesmo32
Sarah Onesmo :
mwanza 🥰
2025-11-18 04:35:38
2
user0610282445
kisupa 555 :
wew Mwanza Hapooo Kudadeki Dar Esa Laam Jipange
2025-12-02 07:37:58
1
user1203997549950
sunny :
Ukiona mtu anakusema vibaya jua kuna kitu umemzidi hivyo mwanza inasemwa vibaya coz ni nzuri sana dadoma,arusha bado sana iliyoko juu ya mwanza ni dar
2025-09-16 16:44:45
4
petermalewo
Peter Malewo :
Hivi Mwana kuna movie theater na pizza hut? hivyo ni vichache tu na kama vipo havina miaka 10
2025-10-28 05:11:39
0
rainer_guide
ℝ𝕒𝕚𝕟𝕖𝕣 𝔸𝕕𝕧𝕖𝕟𝕥𝕦𝕣𝕖 :
Usifananishe Arusha na vitu vingine 😂🤣🤣
2025-09-16 04:58:10
2
lucky_golan
LUCKY GOLAN :
yaani utadhani uturuki kulee INSTMBUL kwa kina hulya 🥰🥰 kumbe mwanza
2025-12-10 17:18:27
0
To see more videos from user @wally.g001, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About