@ligikuutv: #NgaoYaJamii #LigiKuu #tanzaniatiktok #algerie🇩🇿 #tunisia🇹🇳 #togolais228🇹🇬 #congo #malitiktok🇲🇱 #simba #ghanatiktok🇬🇭 #yanga #rwandatiktok🇷🇼

Ligi Kuu
Ligi Kuu
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 16 September 2025 21:01:31 GMT
3268173
139043
1387
4389

Music

Download

Comments

manlacost3
BOE BR££Ž¥🌗🥷 :
Zimbwe mwili ulikua simba roho ipo yanga😂😂💚
2025-09-17 06:38:35
945
barakaabiud6
barakaabiud6 :
utaskia mapenzi yanauma..... Hivi UMEWAHI Kushabikia SIMBA na MAN U 😭😭
2025-09-16 22:50:08
741
__.papacito
PAPACITO👦🏿 :
af mgeni ni kama amefurah mno😂😂
2025-09-17 05:17:21
357
reenmom2
Esther 🧚🏻‍♀️ :
Nilichogundua zimbwe tangu kaja yanga anafuraha sn na kaanza kunawili😂💚💛💙
2025-09-17 05:45:00
245
ariesking415
𝐀𝐌𝐀ᴬᴺ 15/4😎 :
Yanga tu naomba usipite 🙏💚💚💚💚
2025-09-17 08:31:27
392
user7396829472702
Misckinley@delo :
zimbwe mbon pale simb alikuwa hachez hivi😂😂
2025-09-17 05:31:58
110
itsceo8
ÇËØ🎮🔏 :
:Bila kuchoka wale wa10/10 gusa achia nakuja kwako😎
2025-09-17 06:10:55
61
devota.ashery
Devota ashery :
jaman mzize step yako mie hoi yanga Raha bhana💚💚💛💛💚💚💚
2025-09-16 23:34:22
49
carrys15
carry :
ety zimbwe alikuw anateswa simba 😁😁😁 maan so kw hii furaha😁
2025-09-17 03:49:57
111
dj.yona.tv.online
Dj Yona Tv Online :
nina miak 26 nashukuru mungu nimehama kwa wazazi sasa nipo kwa dada
2025-09-17 07:27:29
71
mrf958
mrf958 :
mbn kma zimbwe ana fraha sana
2025-09-16 23:35:09
126
tarimsafi
tãrî🌹msâfï🌿🌿 :
angalia zimbwe aki enjoy Dah yanga Laha💚💛💚💛💛💛
2025-09-17 06:31:35
22
user95661778496087
YULE BoY 🇹🇿 :
wachezaji ni wanafki wallahi zimbwe kama sio yeye
2025-09-17 11:34:23
24
starvoice145
Emvoice7 :
kamaunaamini ndo tumeanza kuyakusanya gongalike mabigwa
2025-09-18 16:23:19
12
nurvent1
sashavent.1 :
ila mgeni wetu ana vibe😅😅
2025-09-17 18:14:15
5
witiness252
witiness :
ila zimbwe anafulahaa adi nainjiy
2025-09-17 08:26:02
5
adamjohn80
Ad NEW STER🎹🎹 :
nyie yanga ni utoporoooo mmebebwaa😁😁😁😁😁
2025-09-17 12:32:31
9
neemaneemamarico
Ney marco :
wananchiii tulikiane video 5
2025-09-17 04:44:16
18
icon_actor23
Itsbicon :
Kuwa yanga ni raha sana 😅 huku kuna sherehe
2025-09-17 05:24:18
11
empiredragon
empiredragon :
jaman mtoto wangu toka azaliwe hajawahi kuona timu yake ya simba ikibeba kombe
2025-09-17 06:51:45
20
issa.vea
nanaki Aluminium :
zimbwe kaona ya nini mie😂😂😂
2025-09-17 07:28:15
14
isabela_cosmetics1
Isabela_cosmetics1 :
zimbwe anafura ameanza na kuglow 😆😆
2025-09-17 05:22:03
22
mymor3
Jayloo🦋 :
Zimbwe kawa mwepesiii😅😅😅🤣💚💛💛✅
2025-09-17 08:52:10
9
mamuwetu
mamu wetu🥰❣️ :
Yaan nnavo ivumlia simba nahisi ata ndoa ntaweza kuivumilia
2025-09-17 19:23:19
7
user8340762239303
user🦋8340762239303 alinda 💕 :
sana ongera jaman
2025-09-17 04:37:12
5
To see more videos from user @ligikuutv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About