@dquty11: Mbele yako yuma yetu 💔tumu achie mungu afanye kazi yake 🙌leo ilikuwa kwako kesho sisi 😭kilicho baki ni kukuombea ndugu yetu uko aliko @Zuubebeh💜💝 🕊️😭💔
Msiombe apunguziwe azabu za kabur ombeni aondolewe azabu za kabur.
2025-09-17 08:38:58
460
Johaly Daniely :
duu. poleni alikua anaumwa
2025-09-17 06:05:45
14
𝔪𝔯𝔰 𝔰𝔪𝔦𝔩𝔢🫂🦋💍 :
kuna dada apo nimemona wa kwenye move ya dunia au nimemfananisha
2025-09-17 13:15:19
130
iam_G :
Najitahud kujisahaulisha lkn nashndwa mim😭🙌🏽
2025-09-17 07:34:12
73
°♡🧕_•🎀🖇 :
daah naumia baba angu kaniozesha tar4 mwez wa8 akafariki tar4 wa9 oooh naumia sana nkikumbuk nasaha alizotupa na dua tukaomba pa1...sna meng zaid ya kusema alhamdulillah dunia s makaz yetu....Allah akuondolee adhab za kabur baba angu akupe kaul thabit😭😭
2025-09-17 13:12:33
52
evodia :
Nan alifariki
2025-09-17 19:54:50
10
Queen outfits ✨❤️ :
inna lillahi waina illahy rajioon 😪
2025-09-17 19:24:48
11
Seven :
R.I.P
2025-09-18 19:50:23
1
Tina’s🌹 :
Tujibun jaman ameumwa au amefanyaje polen
2025-09-17 08:15:46
1
zammy😍♥️ :
kwann usisem mungu amsamehe dhambi zk🙏, toa hy ampunguzie😢
2025-09-17 09:46:14
13
MAMA G COLLECTION :
munguu akupunguzie zabuu ya kabur mdogo wangu vituu nime kuleteaa 7/8 hata miez miwil huja malizaa daa kama tunge juwa kwsho yetu bas nisingee kushaur upangee chumbaa eee mungu mpunguzie mdogoo wanguu azabuu ya kabur ukamjalie pepo iliyoo njemaa tutazid kukuombeaa duwaa hichoo ndyoo kitakuwa cha umuhimu kwasasa japo ningumu kuamin
weewe, nyuma yeetu kvip aisee,
bwana ametoa na bwana ametoa jina lake lake limidiwe🙏
2025-09-18 13:00:57
5
zalhat :
Allah amsameh madhambi yake hii ndo khatma yakila mwana Adam tuachekibri tusifanye yasio mridhi allah allah atujaalie mwisho mwema waislam tukumbuke kusal tena kwa wakat
2025-09-17 16:03:58
5
zahara :
innaa lillahi wainna lillahi rajiun
2025-09-18 17:59:51
2
card B :
Rip
2025-09-20 20:50:31
1
MAJHEEDY TZ :
JIFUNZENI SASA HAPA WADADA MNAJISAHAU SANA MNAHISI WANAOKUFA NI WANAUME PEKEE DUNIA NI NJIA TU DUNIA NI MAPITO MRUDIENI ALLAH TUFUTENI NDOA MPATE STARA NA RADHI ZA MUNGU MUINGIE PEPONI ##### SITAWAAMBIA TENA
2025-09-18 09:15:57
2
khairaty :
mnanikera jamani mtu anakuliza swali mjibu bc na sio nawe unauliza swali hii ndi shida ya wabongo swali juu ya swali kipepeo ndo kakufa au
2025-09-17 19:24:37
0
Jack jack🦋🦋🕊️🥰 :
innalillah wanna ilay rajiun 😔🫡
2025-09-18 21:21:05
1
rukia abdallah mbokeleni :
dada watu wanajeng nyumba siku yakuamia wanakufa huwainaum sana tumuombee tu duwa allaha amfanyie wepes
2025-09-19 11:50:39
1
kinatty :
mungu atupe mwisho mwema
2025-09-17 19:59:59
2
To see more videos from user @dquty11, please go to the Tikwm
homepage.