tunaishi juu ama ndani ya dunia???
kama n juu mbna sioni afya center😅
2025-09-25 23:38:30
0
Kakaa :
USA hawajawai kufika mwezini bila Mrusi.na ndio mana Kwa Sasa wanahangaika kufika wenyewe bila urusi.mrusi kawagomea
2025-09-18 09:14:14
1
Simon bill gate :
hawa ndo wali cause ile rangi ya mwezi
2025-09-22 19:38:52
0
shuadhrak :
KUENDA MINGUNI 100 KUSHUKA HEWANI NI 50
2025-09-24 08:36:59
0
Malkia Milk :
unakuta mambo magumu huku mtaani kumbe kuna watu wanachokonoa mwezi huko juu
2025-09-19 10:10:20
67
Bernhardking :
Hata kama sijakuwapo lakini huu ni huongoooo
2025-09-17 19:09:29
27
Dotto Manyesha :
Ni lini wamekwenda tena Mwezini, au hadithi mkutumiaAI ? dunia inaonekana hivyo? na inazunguka haraka haraka!
2025-09-23 19:45:10
1
fabryculture :
we umemuona Mungu kakosea kufanya watu waishi duniani mpaka wakaishi huku🤔
2025-09-18 13:46:42
3
gilbert wanjala 🇮🇱 🇮🇱 :
No man has ever landed on the moon. Hizi ni zinema za Hollywood movies,
2025-09-17 21:24:34
1
Vicent Mayunga :
uongo mbona mm jana nlikua mwezn sjawaona😃
2025-09-18 12:39:38
5
Timothy joshua :
Kuna uongo na upuuzi 😏😏😏😏😏 Kwasasa tuko timamu
2025-09-18 11:36:31
8
user8193285668333 :
wamepitia mlango wawapi na upo nchi gani ?
2025-09-18 23:45:27
2
NICKSON TANZANIA 2005 :
naomba elimu wenye kujua hivi unapoenda kwenye hizi sayari unachukua mwelekeo gani mpaka unatua, kwa sababu Dunia wanaiona iko juu yao wakati walipoondoka walliacha chini naomba elimu
2025-09-18 07:50:01
2
Benso lonewolf :
solar panels 😂😂😂it means jua huangaza kwenye mwezi??????
2025-09-17 14:34:22
1
47 raja :
hadi angani nako kuna vumbi daaah 😁😁😁😁😁😁😁 wadanyanye watoto walozaliw leo so watu wakubwa
2025-09-18 17:42:03
6
alifaaaa :
haw washenzi wameshauchokonoa mwezi ndiomaana kupatwa kwamwez na kupatwa kwa mabalaa yanazidi
2025-09-21 18:54:42
2
Madison :
uongo njoo utamu kolea
2025-09-25 12:25:44
0
busanya :
kwanini Dunia ionekane juu wakati nawao walienda juu zaid wakaivuka Dunia uongo mtup
2025-09-25 19:03:41
0
Wycliffe Lwigado :
it's God plan😳
2025-09-25 19:50:53
0
lucky Philip :
wanaogaje,isotoshe kushiriki ngono je
2025-09-23 07:54:05
0
Thomas 6600V wifi du monde :
Iyi ni uongo
2025-09-24 07:20:05
0
Consumers group Entreprises :
sio kweli ni AI walitumiaga
2025-09-24 19:05:15
0
Ralphwise :
kumbe ndio maana mvua hazinyeshi kumbe kuna watu wanakanyaga mwezi
2025-09-24 15:20:05
0
jack princess 👸🇮🇹🌍🏝🏖🌸 :
ni kweli msibishe wa Europe ndio wanafanya
2025-09-22 23:45:52
0
To see more videos from user @tanzaniakwanzaa, please go to the Tikwm
homepage.