unataman kuvumilia lakin ukifikiria mwanaume hizo kauli mara ukitaka tendo la ndoa niambie mtu anakuweka Kwa wazazi wake ukihoji ooh utaendelea kukaa hapa mpaka niamue mbaya zaidi anaishi mlipopanga halafu wewe unakaa kwao anakuja kukuona kama mgonjwa ambae upo ICU kweli sheikh apo nivumilie kisa ndio ndoa yangu ya kwanza mi nimeshindwa bana
NAOMBA kuuliza ni sahihi kumpa talaka mwanamke AMBAE ni mjamzito
2025-09-22 20:09:33
6
Mr.galby :
mpk Leo miaka 11 bdo anajizururia Wala sitaki Tena ndoa 😂😂😂😂
2025-09-19 07:54:45
18
moriska :
hakuna fikra na matharau sio tuna mengi sana kaka mume anaitembeya Hadi na mtoto wa kaka yangu at akiwa ananipa thahabi Mimi simtaki nimtu mchafu sana na hataki nitoke
2025-09-19 04:37:19
5
Browniga :
niko na suali
2025-09-19 04:32:37
5
siri yangu :
mie nimeachika
na sasq natafta Shekh kama weyee maana ntapata mtu wa kunikumbusha akhera
2025-09-19 03:36:44
5
Shamsa Omary :
mashaallah mashaallah mashaallah 🥰🥰🥰🥰🥰
2025-09-18 09:28:31
8
Arif. Aziz. Khan🇹🇿 :
sijaelewa hata moja Alianza vizuri Kisha akapotea Mada ya talaka imeishia kwenye zawadi teletele
2025-09-18 18:18:28
16
user2741576817883 :
shekhee akuna mwanake ambae anaomb talak bila sababu mwanaume wanatunyanyasa San hutharit umezida zalahu unakuta mumeo anaongea namwanamke wake chumba
2025-09-19 05:06:36
10
Abdallah Ghalib :
jinsi wanawake wanavyochanganya mpaka sheikh maskin kasahau mada yake baada ya kuanza kumzungumzia mwanamke
2025-09-19 12:19:35
6
SARGENT ANORD :
Kabisaaa shekhe upo sahihi Othman sana
2025-09-18 09:44:39
5
prodrivespec :
Respect sheikh
2025-11-02 00:52:09
2
RAISAM DUME :
Subhanaallah
2025-10-25 20:42:19
3
🎲RAHUL🎲 :
MASHAALLAH
2025-11-19 08:09:02
2
user5975507204922 :
subuhallah
2025-10-22 16:23:45
2
Fatwa001 :
better life nikua kivyako lkn kwa mwengine stress ile ile
2025-09-27 19:17:04
3
Juma Ally Killo :
mufti osimani malimu upo sawa kabisa ukoseagi atakidogo mufti
2025-09-20 08:54:47
5
Mamake Maha :
wengine shekhe tunavumilia paka tunashindwa. tunatoka imani kwenye ndoa.
2025-11-07 10:51:42
2
Buda Shee :
Allah atustiri kwa ndoa zetu
2025-11-14 03:52:05
2
Rashid Mohamed :
amin
2025-09-23 19:49:04
2
kinatty :
na wanaume wanatudharau sana wanathamini mahawara
2025-10-27 18:59:22
2
ummusul :
sio kweli hayo mwanamke anajitambua pale anapothaminiwa ndoa ngani kila siku mikosi...kila unachofanya sivyo...
2025-09-22 10:44:29
4
Mzur Afreen :
yaan shehe Mimi mume wng alikua malaya ananipiga mlevi Sasa anatmbea mpaka na wanaume wenzie eti nikae tu mh mungu atanisamehe tu
2025-09-20 05:43:21
4
To see more videos from user @abdulatifuhamdani, please go to the Tikwm
homepage.