@kenya.news.arena: SARAH ALIYEZIKWA MIEZI NANE ILIYOPITA , KWA KUHUSIKA NA AJALI YA BARABARANI,AREJEA NYUMBANI KISII. WAKAAZI WAPIGWA NA BUTWAA. #kisii #foryounewpageツ #tiktoknews #citizentvkenya
mko sure mkufi ako hapo chini jameni 😅😅😅😅 ss yy arudi tuh akule omwogo swali ja ameona eulogy yake venye ingeandikwa mm nko sure akuna mkufi 😅😅😅😅👇👇👇 hapo chini
2025-09-20 04:27:56
6
Empress kathu :
hi kisii inakuwaga na mambo ya ajabu ajabu,huku diko watu ufufuka,mara maiti kukataa kuzikwa,mara mauaji,mara huyu ametolewa macho,ama kisiii sio Kenya mazy??🤣
2025-09-18 22:22:52
11
Moses :
uzurii si Kenya ni wakisi
2025-09-19 08:27:38
7
Gloria ma Henry 🍼🍼 :
na alisema nyiyi ni maskini surely God
2025-09-19 08:04:51
5
Exotic njoro💦💦 :
mwenye aliconfirm mwili zilikua zimeshika😂😂😂😂
2025-09-19 08:04:01
7
pokot slay🥰 :
30/30 nalipa
2025-09-19 08:37:56
6
Ada chukwu🇳🇬🎀 :
No this isn't a big deal they burry the wrong person kulingana na mtoi wake aliyepotea na kukosa kuonekana kwa siku kadhaa it's happens in most cases muache kulaumu wakisii😂😂😂😂😂😂
2025-09-19 07:23:44
8
Lizz 🇰🇪 betty🇻🇳 mwas🇸🇦 :
arudi ivyo ivyo alivyokuja
2025-09-19 06:28:01
5
♡ྀིᰔᩚ :
Ningastuka nikaweka ile sufuria chini😭😭😂
2025-09-19 08:28:39
6
Marcy Amadi :
sasa nkasituka nkatoa suburia kwa jiko
2025-09-19 04:56:01
5
Queen B Backup :
wakisii mtatuonyesha mambo kweli😂😂
2025-09-19 06:07:58
10
Official goddess :
Wafukue waliizika mtu sio yeye Kwani hawakukagua mwili
2025-09-19 00:21:44
7
Moha :
hakuna Cha kufufuka ukienda umeenda
2025-09-18 21:00:31
5
Liz liana :
Weeh wakisii rada😂 Mko kila kona banaaa
2025-09-19 05:28:59
11
max_maniac2 :
hajalipa rent sayuni😂😂
2025-09-19 04:45:09
5
Muhonja Vee 1 :
Wakisiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣
2025-09-19 08:47:44
1
To see more videos from user @kenya.news.arena, please go to the Tikwm
homepage.