@dogo_rema: MTU SIYE NYAU (EP) #Weekend #maisha #seeyou #seeyou #nashukuru

Dogo rema
Dogo rema
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 18 September 2025 18:11:58 GMT
238061
20488
483
175

Music

Download

Comments

beivanny2
ivanny :
tunaemkubali dogo rema tujuane kwa like apo
2025-09-19 01:00:32
574
kiherehere.kihoro
kiherehere wa TikTok :
Sasa ndio uvae vipeperushi🤔
2025-09-19 03:34:13
122
sureboyibrah
sureboyibrah :
hatujakuzoea hivyo tulikubaliana usiwe na akili wewe akili umetoa wapi😂😂😂😂
2025-09-19 08:32:12
66
mtu.sionyau
mtu sio nyau ✍️ :
ila uyu mwamba kuvaaa anajuwa
2025-09-19 04:07:27
70
nouma369
Nouma mfaftaji 🔥👈 :
Uwongo zambi uyu jamaa anakipaji
2025-09-19 08:09:54
2
raymond.danger1
danger ☠️☠️ :
ndo unavaa vipepelushi
2025-09-22 16:59:30
0
silver2021d
cool blue :
mda mwngne badili aina ya uvaaji unavaa manguo makubwa kila siku dogo
2025-09-19 19:18:30
3
kiafsasobibo
nauza na kutengeneza furniture :
kuimba unajua mzee respect
2025-09-18 22:20:38
44
herimenegild
💕Merry🇹🇿 :
unakuja kama mnajeria alaf inakataa😀😀
2025-09-20 09:56:29
2
babuu.classic
Babuu classic 🌠 :
Kaka umevaaa palachuti utapelekwa na upepoo😇
2025-09-18 21:31:16
17
user3076309887142
Dully Tz :
Yaan Fundi wako. Saizin ya Kiuno anaweka Mguuni💔🤣🤣🙌
2025-09-19 09:09:38
27
trice_79
Trissy 🍭🦋💦 :
sahv bongo unaingia trend km chizi ukitoboa unarudisha akili 😂😂😂🙌🙌
2025-09-19 05:57:32
12
mama.charty
mama charty :
sema huu wimbo ni❤️‍🔥🔥
2025-09-19 19:00:37
5
user8679061888813prett
official Erica🤍 :
Jaman me naipenda Sana hii nyimbo
2025-09-19 04:45:06
9
tinastoredodoma4
tina rohuro🥰 :
wa10/10
2025-09-19 07:35:37
3
don..dangel
Abdul. salim :
uyu msenge anaimba mjue nyie mnachukulia comed😂😂😂😂
2025-09-18 21:52:59
6
user7865137038497
David simth :
Nuimbo Kali mwanetu 🔥🔥🔥🔥
2025-09-19 07:39:36
8
sheyoshehani
I'm back :
ameshaanza kung'aa msanii wetu
2025-09-18 19:54:01
5
fear123l
♤♤♤BOSH♤♤MENTOo♡♡ :
afu alikua ana kalibia kua bubu kabaatika ku ongea
2025-09-19 22:08:38
0
dixokasa
dixokasa :
ukitulia vizuri wimbo unasikilizika bhana
2025-09-19 23:45:56
2
user2045613509719
yakuti :
binaadamu tumeumbwa namipak
2025-09-19 19:59:37
2
mzee.juma123
0781086729 :
ulikua wapi siku zote we nd staa wetu
2025-12-12 05:59:46
1
kenny.......1
abi king👑 :
Sema unajua kuvaa🤝
2025-09-19 19:46:47
3
issa.issa7323
issa issa :
icho kiwanda chahizo nguo kama kiko bongo ningeomba jeshi la police lichukue hatua
2025-09-19 21:19:41
2
chidyboy957
CHYDYBOY :
Oy kaka duuu unataka kuzima moto sokwa nguo iyo 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-09-19 16:56:56
0
To see more videos from user @dogo_rema, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About