@parkergille: that’s what they’re sayin

Parker Gille
Parker Gille
Open In TikTok:
Region: US
Friday 19 September 2025 02:37:34 GMT
2402
259
5
6

Music

Download

Comments

moon.walk17
moon walk :
💕💕💕💕💕 lovely lovable so cutie pie love ❤❤❤🌹🌹🌺🌺🌺🌹❤🌹🌹🌺💕💕💕💕💕💕
2025-09-21 09:08:33
0
user487728712573
sharon :
Can i invite ypu to Miami ?
2025-09-19 04:48:10
0
happybiiird
bird :
Luh u from Madison Wi
2025-09-19 03:09:06
0
duck08174
DUCK :
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2025-09-23 01:05:51
0
romanator_usa
Romanator :
🙈🙈🙈
2025-09-19 04:32:01
0
To see more videos from user @parkergille, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Mtoto mdogo akikatazwa kitu, anarudia tena. Akikemewa, anarudia tena. Anaanguka mara saba lakini bado anainuka mara ya nane. Haimuumi sana kushindwa anajua bado safari inaendelea. Lakini wewe mtu mzima 😅 mtu mmoja tu akikuvunja moyo unasema “sifanyi tena biashara” Mtu mmoja tu akikuambia “hii biashara haina maana” tayari unafuta ndoto zako zote. Mteja mmoja akikataa kununua unasema “labda hii biashara si yangu.” Ukweli mchungu ni huu: biashara si mchezo wa mara moja. Hata waliofanikiwa hawakuanza leo wakawa juu kesho. Walikataliwa mara mia, walikatishwa tamaa mara elfu, walichekwa, walidharauliwa lakini hawakusimama. Kila walipoanguka waliamka, kila walipoambiwa “haiwezekani” walijibu “tutaona.” 📍 Ukikata tamaa kwa sababu ya mtu mmoja, basi haukuwa na ndoto bali ulitaka bahati ya haraka. 📍 Ukiachana na biashara kwa sababu ya maneno ya watu, basi haukuwa na malengo bali tamaa za muda mfupi. Kumbuka: biashara siyo kwa walio na nguvu nyingi, ni kwa walio na uvumilivu mkubwa. Mtu mwenye akili ya mtoto ataanguka mara 10 na bado ataendelea kucheza na huyo ndiye anayekua haraka. Hivyo basi, acha kulia kwa sababu mtu mmoja hakukuamini. Endelea kusukuma mpaka dunia nzima ikusifu. ✅ WAAJIRIWA✅ Tutaanza 1/10/2025 hadi 7/10/2025, nimeandaa mafunzo maalumu kwa waajiriwa wanaotaka kujifunza biashara. 📘 Wale watakaojiunga na mafunzo watapokea kitabu changu cha siri za waajiriwa bure, ili kujua zaidi jinsi ya kuanza na kukuza biashara bila kuacha ajira yako. 💻 Mafunzo yataendeshwa kupitia group, ukijifunza hatua kwa hatua na ukiwa na msaada wa moja kwa moja. 💵 Ada ya kuingia group: 	•	Kuingia kuanzia leo ni Tsh 10,000 	•	Lakini ikifika 28/09/2025, itapanda hadi Tsh 15,000 📣 Usikose! Watarifu watu wote unaowafahamu ni waajiriwa ili nao wapate nafasi hii ya kipekee ya kujifunza mwaka huu. 📲 Jinsi ya kuingia kwenye group: Andika neno MUAJIRIWA kwenda WhatsApp 0653993171 ili upate utaratibu zaidi. 🤝 Karibu mwajiriwa, ujikwamue na utengeneze mikondo mingine ya kipato nje ya ajira.

About