@hamasikatv: Kuajiriwa ni kunyonywa, ni wizi yaani unaibiwa muda wako na uwezo wako ndio maana baada ya muda wanaachana na wewe - Joseph Mrindoko #hamasikatv #badilishamchezo #tiktoktanzania #tiktokenya #tiktokviral

Hamasika Tv
Hamasika Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 19 September 2025 05:22:18 GMT
96378
3026
81
673

Music

Download

Comments

eliudsaimon4
ELLY BOI_YRN :
lazima uajiriwe kwanza
2025-09-21 09:25:35
9
djosb.rwl
Djophet mista_dila🦇🦇 :
huu mjinga anajifanya mjuaji
2025-09-25 16:51:59
6
ezradaniel11
Ezra Daniel :
ni kweli lakini inatubidi tutafute mitaji huko kwenye ajira
2025-09-19 15:50:11
9
dogo.mwambamkali.1
dogo mwamba/mkali 103.3Fm :
acha ujinga mtu mwenyewe umeanzia maisha ya kuajiliwa
2025-10-11 13:50:33
1
akatendatheboss
Akatendatheboss :
Ukweli kabisa, respect for you brother 💪
2025-09-25 14:18:16
2
user69704928621333
Clinton jw :
Exactly
2025-10-05 08:26:39
1
luphan_og
luphan :
sasa wew mwnyewe ukifungua company lazma uajir watu au uta fany kaz mwenyewe
2025-09-21 09:41:43
1
saxidsaxid
Chief saxid Ndondole @05 :
Ili maisha yaendelee lazima kuwe na mtu Aliye Ajiri na kuajiliwa📌
2025-09-19 11:16:30
1
general.adriano
General Adriano :
absolutely true
2025-10-03 18:57:08
1
gilyaraphael6
ONE IS ONE :
huyo jamaa ni mbinafsi
2025-09-21 11:26:34
1
masotadottoemmanu
Masota dotto emmanuel :
wenye kuelewa,ni wenye akili tu
2025-10-01 16:34:33
1
petro.julius
Petro Julius :
yaaaani namuuumga mkono mfano laisi anaongea ujinga mwingine anasapoti ili abaki kutumikiahwa awe mjinga mpaka kufa
2025-10-09 18:59:40
1
said.magedula
Said Magedula :
kuajiliwa nikukodisha akili yaan ww unakua umeshindwa kuzitumia koo inakulazimu uzikodishe🤣🤣
2025-09-25 18:58:43
1
bravo.hm
BRAVO HM :
Basi huyu ndie mtu ninaemkubali sana Tanzania nzima kwa uwezo wa mambo yake kenye chanel ya wachokonozi
2025-09-21 06:29:35
1
mathew.munyao8
Mathew Munyao :
atutaki kuabudu shetani tuliamua wachatuajiriwe
2025-09-28 11:12:56
0
belbel.hait
cier ushindi :
kwel kaka
2025-09-19 14:03:25
1
user1767205279057
userdeo :
we jamaa unavuta bangi
2025-10-07 16:19:20
1
elvoh.matasio
Elvoh.Matasio :
wachache Ndio wanaelewa.
2025-10-10 02:16:51
1
jc_music_artist
Jay c⭐ :
kweli kaka
2025-09-24 19:56:11
1
mr77531
Mr Thinker :
wa Sasa unamaliza mda unachukua mpunga then unarudi kuanza upya kunyonya
2025-09-19 06:11:29
1
gilobert3
Gilo :
kweli
2025-10-14 03:19:00
0
user6198178109046
user6198178109046 :
ukeweli
2025-11-05 09:51:43
0
anjelina5240
naxima :
kweli
2025-12-05 07:38:32
0
ester44714
ester :
hapoumenenaukwelikabisa
2025-10-13 18:32:59
0
emmanueljiguwi
𝐄𝐌𝐌𝐀𝐍𝐔𝐄𝐋 𝐉𝐈𝐆𝐔𝐖𝐈 :
Sure
2025-09-19 05:50:57
0
To see more videos from user @hamasikatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About