Ayo ni maneno ya nyimbo za OHANGYA( za kibembe) kifupi akuna aliye copy bali wote wametowa kwenye nyimbo za sifa zenye Lugha ya kibembe🙏
2025-09-20 01:21:41
6
Prisca Salum 🦒 :
Kuna nini Hapo hivyo muhache kuharibiana cku jamani maneno yanafananaga lkn sauti na melodi zipo tofauti sana
2025-09-21 04:51:30
3
vannesaqueen08 :
mimi sihoni kama ameiba hapo kwasababu ata ivyo nyimbo zote uwa zipo kwenye Bible
2025-09-20 01:28:04
5
Officially~nyota💍 :
Uyo kaka ndo Ame copy na sio fisto acumbo
2025-09-28 01:58:59
0
jenny_jr4 :
sisi wote tuko na praise mungu mmoja tatizo iko wapi?
2025-09-20 15:53:32
2
cynthiamboboci :
Sasa hapo wame copy nini nawakati miondoko za nyimbo sipo tofauti
2025-09-20 02:03:02
1
Ziiih18 :
Maneno ya gospel yote inakuaga moja there’s no difference between them and that’s no surprise 😭😭😏 as long as we praise one God
2025-09-26 21:52:54
1
Kasikile kibu :
Dungu yangu akuna kipya apa chini yajuwa Tena dungu zangu ata ayomaneno Kwani ni yeye doliyasema
2025-09-21 14:05:13
2
Angel 🦋❤️🥺 :
Nyimbo ziko tofauti
2025-09-20 12:43:15
1
Victorina :
Wote walitoa injili Nzuri sana Ila CODE kapiga CODE za uhakika😇🤝🤝🙌.
2025-09-23 04:50:59
1
cute mery :
Acha kwanza nicheke 🤣 🤣 yani apa auwezi pata sapoti mana code alisha toroga sisi wote 🤣🤣🤣
2025-09-20 14:50:31
0
Asende Leon :
Neno la Mungu nimoja tu na kila neno linafanana nikufatana na mtu atatowa ritim kanbgi , zote ni sifa za Mungu 🥰🥰
2025-10-07 06:47:21
1
Psalmiste Josbi Mtungwa :
shida ni nini hapo wajuaji wamekua wengi sana.
music ni taaluma na hapo kijana ameonyesha taaluma yake kuleta melody moja na kuitofautisha kwenye melodi nyingine haijalishi wimbo ni mmoja
ila mtoa post ni mshamba wa muziki na mwenye chuki za kijinga😂😂😂
2025-09-20 23:34:28
1
florence14_2 :
Ameiba kweli
2025-09-20 00:33:31
1
Betty🥰❤️ :
Kwanza Watenga🤣🤣🤣
2025-09-22 21:39:31
1
MAMA YA BABY 🧑🍼❤️ :
Yani watu wanashida gani jamani nandomana tunauwana kwa sababu ya wivu tu na maendeleo ya mtu tupendane na tu support tu😏😂🙏
2025-09-20 15:30:35
1
Daddy :
msichokijuwa akuna mziki mpya duniani kila mziki umetokana na mziki 💯 tunachotakiwa nikusapoti ndugu zetu wanafanya kazi kubwa sio kuanza kudidimiza na kuwatafutiya mabifu yasio na faida 🙏
2025-09-28 14:26:45
0
Mom P❤️💍🤞 :
Amehiba wimbo ila kabadilisha rustime yakuimba ila wimbo wote ni wa fiston Acumbo 😂😂😂😂
2025-09-20 03:57:23
0
DM MELODY :
angalia myaka ya nyimbo zote.🥺🥺
2026-09-20 21:53:35
0
Tanganika 19 :
Kati ya hai wawili aliye handika biblia ninani?
2025-10-13 13:58:02
0
Sarafinah 💫 :
Alifanya remix ya nyimbo ndo alisemaka 🥰
2025-10-20 03:06:09
0
Samwel Kakinjwa :
asituharibia lugha
2025-10-03 16:10:05
0
Bardonie Wilass :
Mungu ni moja tu ila fiston amepiga poa ssna
2025-09-25 00:00:36
0
Rjfthatsme :
kwanza hope dg ule matao
2025-09-23 21:38:31
0
Byobabilebisekelembwe :
Ulie tengeneza Iyiiii vidio umejisumbuwa bureeee , maana ni nyimbo mbili tofauti zenye maneno yakufanana ,, kwaiyo ume aibika wewe akuna anaye shangaa 😛😛😛
2025-09-20 05:04:52
0
To see more videos from user @idee2125, please go to the Tikwm
homepage.