@sheikhmaskari1: Kama baba yako yuko hai mjali na mheshimu na mthamini... kama katangulia mbele ya allah basi hakuna litakalomfaa kama dua za mtoto wake Tuwakumbuke marehemu wetu kwa dua na sadaka... allah awasamehe madhambi yao na awape rehma yake na kupokea mema yao...aamin #islamic_video #tanzianiatiktok🇹🇿 #zanzibar #oman #kenyantiktok🇰🇪
Allah humma ghfirlahu warhamum waaskinhu filjana🥺 allah humma amin
2025-10-01 06:38:26
0
Bulhan :
Allahuma ameen🤲🏼
2025-10-01 13:59:56
1
Amina :
alhamdullilah ALLAH awape afya n uzima wazazi wetu..🥰
2025-09-25 17:57:28
0
Asiluu❤ :
My biggest heartbreak is my baba🥺i lost him with no last words and proper goodbye😭i lost him while trying so hard to win in life just to pay back all his sacrifice and make him proud but everything was too late and i’ll never heal from that pain💔
Allahumma amiin na ajaalie makaburi yao kuwa busting miongoni mwa busting za peponi na marathon yao juu ya kututaftia rizk yakawe mito miongoni mwa mito ya peponi na Allah awajaalie jannah yakawe makazi yao awaepushie adhabu ya kaburin na cc tuliobqki atujaalie khusnal khaatima
2025-09-27 15:16:50
0
user3945868750698 :
UMENILIZA NIMEMKUMBUKA BABA YANGU NA ALIKUWA ANAJUA JINSI GANI NILIMPENDA