@Mr Smile😎: Kuna siku moja ya Eid nilienda kuna msikiti huku usa sasa sikutegemea kuwa Imam atakuaje coz sehem nilizowah kuswal kila siku nishazijua sasa namuona mzungu anaset mic nikasema haya ngoja nisubiri Muda wa swala ASEEEEE alisimama mbajuni ILISOMWA QURAN kwanzia suratFATHA mpaka salam Machozi yanatoka tu nilitaman asimalize yani kiukweli siwezi kuwaelezea ila nachoweza kusema tu ni masha’aALLAH na alivyomaliza sikumuona tena
2025-09-22 11:31:25
59
Zuu :
yaani nikisikiliza hizi aya najikuta natulia sanaa mwenye nayo naiyomba jamani🥰🥰
2025-09-22 20:43:38
46
Ifa Side :
huyu Ata akija km Ana wake watatu bc mimi nitakua wanne tena mahari yangu anisome t suratul mariam🥰🥰🥰
2025-09-22 08:37:20
120
madakessi :
masha allah wale wpenzi wa qur_aan tujuane kwa pamoja
2025-09-22 10:55:22
121
Salah Rayyan :
may Allah reward you jannah
2025-09-22 03:08:45
28
Nas nacho :
Masha Allah 🙏🥹
2025-09-22 08:13:21
11
Johaynah,S Kasagula :
wakt mwngne swala 5 ngumu kutokana na maimam wetu mpanglio wa sauti hamna lakin kama huyu swafu ya mbele kla swala.mashaallah
2025-09-22 19:50:54
19
ishakahajki :
🥰🥰🥰🥰🥰 ladha tama y qur-an
2025-09-22 05:26:46
21
zulkham :
jamani kwa uzur wa sauti na quran yenyewe kuna umuhim gani wakuskiliza nyimbo mashallah sauti inaingia hadi kwenye ubongo natamani niskilize mda wote
2025-09-22 18:50:45
26
Fettyally :
Tafsiri yake tafadhali
2025-09-22 06:15:14
5
Mohamed Borte :
mashallah Allahuma barik
2025-09-22 10:50:25
8
محمود عبد الكريم :
ربي إني لما أنزلت إلي من خير فقير
2025-09-21 21:55:43
8
mum Aysha :
maashaAllah🥰🥰
2025-09-22 13:20:41
5
noor_youssouf.1 :
qur an ✨🥰♥️ladha ya moyo wangu
2025-09-22 05:14:00
15
Saleh🤗 :
mashaallah mungu akuzidishie wepes
2025-09-22 06:38:40
17
cuccie 😘 :
Mashaallah, 🤲 Yaa rabbi nijaalie na mie kama huyu yaa Allah 🤲
2025-09-22 10:37:21
24
Naya :
jamani tunaomba vitu vizur kma hivi msituzuie kuvisev jamn😏